Ni kweri dunia imebadirika lkn mabadiliko hayo yasipo zingati mfumo mzima wa maisha yetu mwisho wa siku atakosena nani wa kulaumiwa means too lait
Nakumbuka zamani mim nilikuwa nikibishana na...
Salaam;
Tafadhali kama kuna anayefahamu;
1.Chuo chochote aidha hapa Nchini ama East Africa kinachotoa mafunzo ya Urubani
2.Sifa anazopaswa kuwa nazo mwanafunzi
3.Ikiwezekana na gharama za fee...
Wadau wa JF nimebaki najiuliza sababu zilizomfanya Mhadhiri Msaidizi wa UDSM ajiue?
Mhadhiri huyu ambaye ameanzia kwenye ngazi ya ualimu wa shule ya msingi,Sekondari hadi kuwa Mhadhiri Msaidizi...
kuna jambo ambalo linanishangaza kwa waalimu wapya walioajiriwa hususani halmashauri ya moshi mjini ambapo walimu wanazungushwa na fedha yao ya kujikimu,wanapewa wachache wanaambiwa wasiwaambie...
Habari wana Jf
Natumai mu wazima katika shughuli za kila siku.
Nina rafiki yangu ninayesoma naye mwaka wa 3(the final yr) katika Chuo kikuu kimojawapo Nchini. Rafiki yangu huyu alifeli mojawapo...
Rushwa ya ngono imekithiri vyuo vikuu
LEO wazalendo wenzangu nina mada ambayo imejificha kidogo, ambayo imekuwa ikirudisha nyuma maendeleo ya taifa kwa namna moja. Kama macho yako yatakuwa...
tafuta post nyingine yenye picha na kichwa Waraka wa wanafunzi wa elimu juu kwa serikali kuhusu migomo na maandamanoya mara kwa mara...
Taarifa hizi zisizokuwa na ukweli...
Heshima mbele wana JF,naomba msaada kupata vyuo bora kwa kozi ya Masters of Finance and Management -China(lugha ya kiingereza) ..mwenye kuwa navyo anisaidie nipate vyuo bora kabisa
Nazani ni wakati wetu muafaka sasa kufanya tafakuli ya kina katika nyanja ya elimu. Naanza kwa swali je elimu tunayo katika nga ya vyuo vikuu inakizi vigezo vya ushindani wa kimataifa? Kama ni...
Nina mtoto wa dada yangu ana point 26. Matokeo yake hayakuwa mazuri naamini ni kutokana na kusoma shule za kati.
English C
Geography C
Maths D
Physics D
Biology D
Chemistry D
Kiswahili D
Civics? D...
Tukiwa tunaelekea siku ya kupinga vitendo vya ubaguzi duniani,hali bado ni mbaya katika idara ya elimu ya sekondari manispaa ya Bukoba.Afisa elimu sekondari wa manispaa,afisa taaluma pamoja na...
Na mdogo wangu amemaliza f4 mwaka jana na amepataka kama ifuatavyo,
P=D
C=D
M=C
G=C
B=D
H=C
K=C
Ci=C
L=D
Sawa na III=23
Alijaza tech colledge kama ifuatavyo
1.DIT=Telecom...
WALIMU watatu wa Shule ya Msingi Tukoma, Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Mpanda na mzabuni wa halmashauri hiyo, wakikabiliwa...
nimeshikitika kuona vibandiko hivi yva magari. endesha+simu=Kifo. nafahamu kwamba ajali zimetokea kwa matumizi ya simu wakati madereva wanaendesha. ila waliounda msemo huo nauchuklia kwamba ni...
Habari zenu wakuu,
Naomba anayeelewa utaratibu wa namna ya kuomba leseni ya kuanzisha centre ya kutoa elimu ya juu anipe dondoo. Je inaombwa kwa nani/wizara ipi?
Ahsanteni.
Kwa wale wenzangu na
mimi.
Re-application procedure
into higher education
institutions in academic
year 2012/2013 .
The Tanzania Commission
for Universities (TCU)
hereby informs...
CRDB: Kwa sasa hatuwezi kuizungumzia Uda
Na Jimmy Mfuru, 23rd March 2012
Wakati Shirika la Usafiri Dar es salaam (Uda), linasema mradi wa mabasi ya wanafunzi yaliyotolewa na Benki ya CRDB...
Ni tukio lililotokea leo majira ya saa nne katika Shule ya msingi Park-Nyigoti Wilayani Serengeti Mkoani Mara.Tukio hilo limetokea baada ya ndoo moja iliyotumika kugawia uji kuwa na sumu ya kuulia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.