Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wakuu kuna course ya data analysis using spss na ms exel inafundishwa udsm details hizi hapa 1.mahali- ucc mbezi beach branch mbele ya kituo cha goigi. 2.muda wa lumaliza course-ni course ya wiki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania imeamua kutoa mfumo mpya wa elimu ambapo imetoa rasimu ya mfumo mpya wa kutoa elimu kuanzia ngazi ya chekechea mpaka ngazi ya elimu ya juu. Katika sera...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
hebu nisaidien brudas n sistas kwa nini miaka ya karibuni kidato cha nne kimekua na sifa zisizo rizisha.Nini tatizo jamani au sisi student ndo wakulaumiwa?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wanajamii forumz, natamani kwenda kusoma masterz Uk au USA, nia yangu ni kusoma kwa njia ya online nikiwa huko, ili niweze kupata muda kufanya kazi ili niweze kumuda maisha ya huko na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wakuu dogo wangu anataka kujiunga na chuo kikuu huria course ya Busneness admistration bachela,sa ananiomba ushauri kwasababu ana principle mbili Pekee! Naombeni mawazo hapa waungwana...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi nimemaliza form 4 mwaka jana,nahtaji chuo chochote kinachofahamika serikalini kinachotoa mafunzo ya "land surveyors"msaada jamani: Thanx.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wakubwa! Ebana mada iliyonifanya niilete mbele yenu ni inagusa watoto wengi wa maskini ndani ya nchi hii. Je wadau ninaomba kujua na kuelewa utaratibu mzima wa watu wanaofanya mtihani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salamu zenu wakuu,nna mdogo kamaliza cbg anapendelea cozi za mambo ya mifugo na kilimo. Je ni ipi ambayo akiiso itamuwezesha kupata ajira au kujiajiri mwenyewe na akatoka kimaisha? Isiwe ya...
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Kwa mujibu wa ripoti ya survey iliyofanywa na National Bureau of statistics; Mikoa ya Tabora na Dodoma ndio inayoongoza kwa kuwa na asilimia kubwa ya wakazi wake kamwe hawajawahi kufika shuleni...
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Heshima mbele wakuu wangu. Nilizoea kudownload digital books online kupitia library.nu, sasa ngoma naona imegeuka. Leo najaribu ku-access hiyo web adress nakutana na haya maneno "THE DOMAIN...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa habari nlizonazo za uhakika toka viongozi wa juu chuo kikuu mliman kina mpango wa kufuta undergraduate degree zote na kubakisha masters phd na kuendelea hii inalenga kutengeneza lectures na...
0 Reactions
66 Replies
6K Views
Habari wana Jamii natafuta matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2003 na 2006 katika mtandao. Wadau naombeni msaada
0 Reactions
0 Replies
835 Views
hasa hawa wa shule za ST. wakiingia vyuoni hushindwa hata div 111 za shule za kata. pale UDSM tulisoma na dada mmoja, huyu ndie kati ya wanafunzi 10 bora mtihani wa kidato cah nne. lkn alipokuha...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ninavyofahamu mimi mojawapo ya vigezo vya mwanafunzi kufanya vizuri katika masomo yake inachangiwa pamoja na mazingira anayoishi na ya kujifunzia. Hali hii ni tofauti sana katika chuo cha Mipango...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
WanaJF kuna hivi vitu vinanchanganya mimi nnapenda Computer engineering, ila kuna hii wanaita Computer science je ni nini tofauti zake? Na pia kuna kitu wanakiita Electrical and computer system...
2 Reactions
5 Replies
5K Views
Kijana mmoja baada ya matokeo yake ya kidato cha nne kuwa mabaya sasa ameamua kwanza kwenda kujifunza kiingereza nchini Uganda ili baadae aje arudie mitihani yake. Najiuliza hivi elimu yetu iko...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
hasa kwa hapo mlimani,hivi majibu ya mkopo kwa walioappeal yanatoka lini?nisaidieni maisha magumu!
1 Reactions
0 Replies
3K Views
kama ni suala la uwekezaji basi tz tumeshinda!walimu wa shule moja ya awali(Grace) inayomilikiwa na raia kutoka korea,iliyopo kigamboni wanalalamikia utaratibu wa shule hiyo kutumia utamaduni wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Waungwana naomba nisaidiwe kwa hili nataka nijue ni vyuo gani vya india vinavyotambulika na tcu au ni sifa gani wanazozitumia tcu kukitambua chuo kuwa ni sifa za chuo? thanks
0 Reactions
1 Replies
6K Views
toka mwaka huu wamasomo uanze cjaielewa serkal na loans board.wanasema kupata mkopo lazma usain sa inashangaza vyuo km udom na saut vnawanafunz weng lakn kusain lazma na chuo km udsm kutokusaini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom