Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wakuu, Matokeo ya mitihani ya kidato cha nne 2011 yanaonyesha kuwa asilimia 92.1 ya wanafunzi 426,314 waliofanya mitihani hiyo wamepata Div 0 na Four? Je tunaelekea wapi kama Taifa???
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Jana nilipita sehemu nikakuta kuna ubishani mkubwa sana hivi tofauti ya mfanya biashara na mjasiliamali ni ipi
0 Reactions
1 Replies
6K Views
UEA International Development Scholarships For Students From Developing Countries Sheffield Hallam University International Achievement Scholarship New Zealand Development Scholarships...
0 Reactions
0 Replies
740 Views
Serikali lazima iingilie kati kukomesha tabia ya ubaguzi na upendeleo iliyoshamiri ktk idara ya elimu sekondari manispaa ya Bukoba. Afisa elimu sekondari pamoja na wakuu wa shule wamekuwa vinara...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni kwel kitendo walichokifanya hawa wanafunzi sio cha kuvumilia lakin je hii adhabu ya kufungiwa miaka mitatu hawa wanafunzi itawajenga au ndo itazidi kuwabomoa?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nilizungumzia umakini wa kiutendaji hapa shuleni kwetu KIBANGU ENGLISH MEDIUM SCHOOL, the form and methods which are applied are child centered , and the concern as it has always been, is to...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Salaam GT! Kwa wanavyuo hususan Udsm mlioripot leo vyuoni nipeni updates za boom pande za huko zinaendaje?
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Baada ya kukaa muda mrefu bila boom, sasa kuna taarifa kwamba kuanzia j'moc zoezi la kusaini litaanza. Nikiwa km mwanafunzi na mwajiriwa wa chuo hiki nimesononeshwa sana kwa jinsi uongozi wa chuo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Najua itakuwa ngumu kueleweka kwa urahisi kwa sababu baadhi ya makabila hayawezi kutenganisha kati ya R na L. Hivyo naomba mwenye utalaamu mzuri wa kuelezea aweze kunisaidia kwa faida yangu na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau Mimi ni mmoja wa wadau wa elimu ,kwa upande wa mafunzo ya ufundi stadi (namiliki chuo cha kompyuta focused on mid and low class societies only ) ,Kuna proposal ninaandika ili nipate...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF naomba kama kuna mwenye uhakika. Nimepata tetesi kuwa baadhi ya vyuo vikuu ambavyo wanafunzi wake tuko likizo fupi ya kumaliza semester 1 vitachelewa kwa kuwa loan board haina hela za...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tukiwa na siku tatu, tu toka tufungue chuo baada ya kuwa na likizo ya wiki tatu, hakuna Boom (yaani hela ya kujikimu tukiwa chuo) cha ajabu ni kwamba hela hii aliyepewa dhamana ya kutoa hela hizo...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Katika nchi yenye serikali ambayo inawajibika kwa wananchi wake haiwezi fanya makosa ya aina moja kila siku.Yaani nimeandika habari hii kutokana na mateso wanayopata wanafunzi wa vyuo kutokana na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau.. Nina mpendwa amemaliza form IV mwaka jana hapa dar na hakupata alama zinazotakiwa kuendelea mbele kielimu.. Ameamua kurudia mtihani. Changamoto kuu ni kuhitaji kufahama Vituo vipi vinatoa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
kwa kuchukulia hatua ghidi ya walimu ambao hawahudhuriii madarasani,hebu angalia ni nani asiye jua maisha ya mwalimu yakoje kiuchumi,nani asiyejua hao viongozi wetu wanabiashara gani pia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
baad ya kusubir matokeo kwa shauk kubwa ss kila k2 hadharan kwa wale wenye zali la mentali tunachosubr kwa ss ni lin post zitatoka na shule gan tutapangiw vlvl kwa wanaofahamu naomba kuorodheshewa...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Habari magreat thinkers! Jamani kama kuna mtu ana ufahamu jinsi ya kusoma 4m5 na credit 2 and at the same time unatafuta credit 1, je ni kweli baada ya kupata 1 crdt utaruhusiwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"Education is a key of life".. This quote has been a world anthem, everybody needs to know it.. Imagine you always doing the best you can to have better performance in your studies, but always end...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
wakuu kiwango cha kufel kwa hawa ndugu zetu kidato cha nne kutaisha lin ....!nahc kama kila mwaka namba ya wanaofeli mtihan huo wanazid nin serikali na jamii kwa ujumla tukifanye kuepukana na...
0 Reactions
1 Replies
970 Views
Back
Top Bottom