Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Saloom wanaJamvi, nashindwa kuwaelewa watumishi wakuu na watendaji watoa maamuzi wanapokula matapishi yao, hivi karibuni wizara ya elimu ilitoa ajira mpya za walimu na kutoa angalizo kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nasikitishwa sana na baadhi ya vyuo vikuu hapa nchini, kwani ili mwanafunzi ayaone matokeao yake ya mitihani inampasa afunge safari toka hukoooo aliko hadi kwenye notice-board ya chuo. La ajabu...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Wanajamvini naomba ushauri juu ya shule nzuri ya bweni ambayo inapokea na ina darasa la wanafunzi wanaorudia mitihani ya kidato cha nne kama watahiniwa wa kujitegemea(Private Candidate) au...
0 Reactions
13 Replies
16K Views
Hawa Baraza la mitihani mbona hawana huruma kabisa,unaweza ukafa ukazimia ukiona umepata C-2(Credit 2)afu umekoswa 1 tu kwenda form 5 jamani hii inauma sana tena sana yan ni bora wange2hurumia 2...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wapendwa wana JF Kuna ndugu yangu amepata Division Four pts 32, na amepata alama C katika somo la Biology. Je anaweza kupata nafasi ya kusomea Nursing na baadae kuweza kuajiriwa? Pia naomba...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habr zenu wanaJf, kuna mdogo wangu kafeli form4 ana D 3, sasa kuna chuo nimesikia kinatangazwa radio clouds kinaitwa SAMFELIS kipo maeneo ya Victoria na kimesajiliwa na NACTE. Kama kuna mwanaJF...
0 Reactions
3 Replies
983 Views
Kwanza nawasalimu wana JF wote, salaam. Lakini pia nawasalimu ndugu zangu wa BWABUKI, nawakumbuka sana na nawapenda. Mko wapi ndg zangu? Nawakumbuka pia walimu wetu enzi hizo, Rutatina, Kahwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu zangu wahitimu wenzangu wa mwaka 2002 kidato cha nne, katika shule ya ALDERSGATE Mpo wapi Jamani? Najua maisha ni mtenenange unaotutenganisha tulio wengi, ni vizuri tukakumbukana na...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Source: Radio Imaan FM ktk kipindi cha mwangaza kwa jamii.
0 Reactions
53 Replies
4K Views
Wadau, nahitaji msaada wenu ninatafuta syllubus ya economics A-level, kama kuna mwenye nayo plz nisaidie nipate kujua topics zinazotakiwa kufundishwa.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Salaam wana jamvi, Naomba kuuliza ili nipate kufahamu hivi haya maandishi ya kwenye magari ya kubebea wagonjwa 'AMBULANCE' kuandikwa kwa kugeuzwa ni madoido au kuna sababu ya kuyaandika...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Dah! Yaani wanafunzi tunaotarajia kufanya Necta form 6 next year kaazi kweli kweli sababu syllabus mpya waalimu wenyewe inaonekana hawaielewi vizuri sasa imefika hatua wanafunzi tunasoma ila...
0 Reactions
54 Replies
21K Views
kuna dogo amemaliza chuo cha uhasibu dsm,mwaka jana,akawa amechukua statement of results.jana anakwenda kufuatilia cheti,anaambiwa hapa cheti ni kuanzia miaka 3 ijayo!ndio vitakuwa vimetoka!na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Salma Said BAADHI ya wazazi ambao watoto wao wamefutiwa matokeo ya mitihani ya kidato cha nne visiwani Zanzibar wanakusudia kulifikisha mahakamni Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ikiwa ni zaidi ya mwezi sasa zitoke tetesi kwa wanachuo kuletewa fedha za kujikimu, watendaji ndani ya bodi hiyo wamekuwa wakifanya mawasiliano yasiyo rasmi na wasomi hao kuwa fedha...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hatimaye ile ahadi isiyo yakawaida ya Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Phillipo Mulugo,aliyoitoasiku ya kutangazwa kwa matokeo ya darasa la saba,imetimia.Wanafunzi wotewaliomaliza darasa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dear Members, Kindly find M.Sc and PhD opportunites at Nelson Mandela African Institute of Science and Technology -Arusha. Kindly apply or inform your friend, sister, brother etc. Visit; The...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
shule ya msingi msigani mbezi haijafungua shule baada govt kushindwa kujenga choo kilichoharibiwa na mafuriko-ITV
0 Reactions
1 Replies
1K Views
waliosoma Makongo ya miaka ya 90 na mpaka 2005 chini ya headmaster Kanal Kipingu mpooo...mnamkumbuka afamde Miraj(r.i.p) jinsi alivyokuwa anaogopeka?? Mnamkumbuka babu Chacha??
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom