inasikitisha kuona kiongozi mwenye dhamana anakwepa ama kukataa kuwasikiliza wadau wake, kawambwa sikiliza kilio cha wanafunzi wa vyuo vikuu hasa SAUT, naambiwa viongozi wake wamekutafuta sana...
ndugu zangu nipo kwa mala nyngne kwenye jukwaa hili nikiomba kwa yeyote anaejua majina ya vitabu vya masomo ya phy.chem.na bios kwa sylbc.mpya ikiwezekana na wastani wa bei zake.nitashukuru kwa...
Salma Said
BAADHI ya wazazi ambao watoto wao wamefutiwa matokeo ya mitihani ya kidato cha nne visiwani Zanzibar wanakusudia kulifikisha mahakamni Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kwa...
jamani ndugu zangu naomba mtu mwenye contact ya chuo cha ustawi wa jamii cha DSM anisaidie maana nimeangaika kwenye google bila mafanikio.nakama unajua qualification zao pamoja na muda wa maombi...
jamani ndugu zangu naomba mtu mwenye contact ya chuo cha ustawi wa jamii cha DSM anisaidie maana nimeangaika kwenye google bila mafanikio.nakama unajua qualification zao pamoja na muda wa maombi...
Wanajf wanaohusika na utaalamu wa manunuzi na ugavi naomba mnisaidie kujua ni lini mwisho wa kulipia mitihani ya board ya mwezi wa tano mwaka huu. Nimeiweka hii thread huku kwa sababu nimejaribu...
Wadau naomba mnisaidie kuhusu ni lini mwisho wa kulipia mitihani ya board utakaofanyika mwezi wa tano. Plz nisaidie make mm niko mkoa na nimejaribu web ya board sijaona.
Ni muda sasa tangu wasimamishwe masomo viongozi mbalimbali wa wanafunzi kutoka katika Serikali ya Wanafuzi wa UDSM maarufu kama DARUSO.Waliosimamishwa bado wako majumbani kwao wasijue hatima...
Ikiwa imepita takribani wiki moja, tangu nimeripoti hazina ya taifa kukauka kupelekea kukatwa pensheni za wastaafu serikali, sasa imegeukia wanafunzi vyuo vikuu nchini.
Akiongea na wanafunzi...
wakuu wanajf kwa wale wasomi,wadau mbalimbali wa masuala ya elimu ningeomba muipitie hili andiko halafu tujadili bila kuweka ushabiki wala matusi.
The merits and demerits of private and public...
Kijana anataka kuwa Mhasibu; amemaliza kidato cha 4 mwaka huu, Div 4. Ana 'D' 5 ikiwepo ya Maths na English.
Je chuo gani hapa Dar mnachomshauri ili hatimaye atimize ndoto zake?
Tunaomba ushauri...
Kwa nyakati tofauti rafiki yangu mmoja amekuwa anajaribu kutembelea tovuti ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam leo lakini inaonekana pages sijui zimenyofolewa au ndo maintenance...tuweke basi hata ka...
Matokeo ya Mwaka wa nne Mlimani 1. Kwa shahada ya kwanza pale Mlimani gredi zenyewe zimekaa hivi (kama hazijabadilika) A: 75-100, B+: 70-74, B: 60-69, C: 50-59, D: 45-49 na E: 0-44 2. Gredi...
Wakuu leo napenda kutumia jukwaa hili kuomba mawasiliano na watu waliosoma shule ya sekondari ya Popatlal iliyoko Tanga. Kwa atakayeliona tangazo hili aache namba yake ya simu au barua pepe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.