Jamani inavyosemekana ndo hivyo Loans board hawatoi mpunga mpaka wiki tatu zipite kwa kuwa vyuo vingine vimefunga na huo ndo utaratibu walionao, so Raisi, PM, na waziri wa mkopo waenda kufatilia...
Wapendwa,
It is a pity kuwa naibu waziri wa elimu kwa kutafuta cheap popularity anamtelemsha cheo Mwalimu Mkuu wa sekondari huko Korogwe bila kumsikiliza ili aonekane anafanya kazi. Unakuwa driven...
WALIMU wa Shule za Sekondari na wazee wa watoto waliofutiwa matokeo ya mitihani ya kidato cha nne Zanzibar, wanakusudia kulishitaki mahakamani Baraza la Mithani la Taifa (Necta) kwa kutoa...
Of late we had the breakthrough workshop on the application of extra -curriculum requirements to accomplish educational and academic needs .The re known educator Mr Mwageni from the university...
Serikali imejenga shule nyingi sana za sekondari kuanzia mwanzon mwa miaka ya 2000.Lengo la Serikali yetu lilikuwa zuri la kuwapatia elimu ya sec.vijana wetu.
Ila kitu ambacho Serikali haijakiona...
Ni WAMIAKA 13,ATOA HONGO
KIASI CHA LAKI MBILI ILI KESI
ISIENDE MBELE
Habari na Ezekiel Kamanga, Mbeya
Mwalimu wa shule ya msingi Bwato wilaya ya Kyela mkoani mbeya Bwana Herny Hans...
Bodi ya mikopo kuchelewesha pesa za vitivo kinyume na mkataba kwani pesa hizo ziliitajika mwanzoni mwa s emister ili zifanye kaz yake lakini bodi bado hataki kutoa cheque hii imesababisha wanafunz...
Heshima mbele wanabodi!
naomba kwayetote anaeweza kunisaidia/kunijulisha kupata shule ya kidato chatano kwa ajili ya mchepuo wa sayansi ninadogo anataka shule ya private! ana three ya 23, anataka...
mtoto wa jirani yangu amepata Div - 0, nimemsikia jirani yangu anasema huyu kafeli sasa inabidi nimpeleke chuo cha unesi huko mkoani. hapo nikajiuliza kuna chuo kinachukua Div -0?
Nimepita kwenye website ya wizara ya elimu na kukuta orodha ya ajira mpya za walimu waliobadilishiwa vituo vya kazi, kama vpi ngonga HAPA yawezekana ukawemo kama ulijaribu kuomba kuhama kituo.
Suala la waajiriwa kutopata ufadhiri ni kutaka kuendeleza lile wimbi la watoto wa wakulima wa kigoma kutosoma. mfano mimi hapa nmeanza kazi ya ualimu mwaka 2004. mshahara wa mkononi hadi sasa ni...
Hello magreat thinkers! Mdogo wangu kapata dv3-22 csee 2011, but comb hazjabalance kutokana na kupata D ktk masomo ya Geo Phys na Histr, so naomba naomba msaada kwa jinsi ya kukata rufaa kwa...
Ninamshukuru mungu kwa kumaliza mitihani yangu ya kidato cha sita salama wasilimini, ila hofu kubwa niliyokuwa nayo moyoni mwangu ni swala la kuvuja kwa mitihani hii ya kidato cha sita, kwa...
Nimejiunga na TIOB (Tanzania Institute of Bankers) hivi karibuni nategemea kufanya mitihani mwezi May mwaka huu naomba Great Thinkers ambao ni wanachama wa TIOB au wale waliopitia hii mitihani...
Mwanafunzi m1 aliyefanya mtihani wa form 4 mwaka 2011 alijibu kwamba:::1.Kulazimishwa shule ni moja ya characteristic za free market economy!
Sos:Dr Joyce Ndalichako(Katibu Mtendaji NECTA)...
Ni mwezi sasa unakaribia kufika,
wahitimu wa Mwaka huu wapatao 5,000. Hawajarudishia hela yao ya mahafali 20,000/= kama walivyoahidiwa pindi tu wakirudisha joho...
Sasa 20,000/= tshs * 5000 =...
Mwanafunzi Rajabu wa kidato cha tatu shule ya sekondari mwanalugali,Kibaha,ambae ni member wa kikundi cha al-shabaab na al-qaeda(vyote vikundi vya shuleni kwao) amefukuzwa shule pamoja na wenzake...
Hallow the greet thinker
Baada ya wizara kuamua kutumia gharama kubwa kwenda kuchapishia mitihani ya kidato cha sita nchini Uholanzi.
Nimefanikiwa kuhojiana na wanafunzi waliomaliza form six...
Mimi kwa mtazamo wangu si vizuri kwamba kila mwaka watahiniwa wa kujitegemea huwa hawaambulii kitu.,naona dhana hii imekaririwa sana. Naomba wizara ibadilishe utaratibu huo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.