Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Moja: K utokana na matokeo ya form kwa wanafunzi kuandika ambavyo havihusihani na majibu mf. Mashairi ya bongo flavour, matusi nk hivi ni kweli ndo adolcence age? Au ndo hawajui...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natafuta jina la shule ambalo zamani likijulikana kwa "St. Gaspare Bertoni Secondary School" mbona silioni kwenye matokeo ya necta au jina limebadilishwa?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau hii imekaaje?Idadi kubwa ya Private candidates kwa wanaorudia mitihani kidato cha 4 au 6 huwa ni wasichana!KWA NINI?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Serikali ya mexico imetoa scholarships. Gonga hapa Sasa wakuu, ningeomba kwa wale walio na uzoefu na Mexico wamwage hapa ili tusije kuingia choo cha kikeni. Shukurani.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Walimu wapya wilaya ya Muleba wamegoma kuchukua fedha za kujikimu ya siku 4 badala ya siku 7(diploma&degree)..afisa elimu na mkurugenz wamesema eti ndo agizo la kutoka wizara elimu na bado wakazid...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu hivi majibu ya kuongezewa au kupewa pesa kwa walioappeal kutoka Heslb ni lini?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wahusika nilisikia kuwa kuanzia mwaka huu wanafunzi wa Baed mwaka wa pili watapewa wote fedha sawa na si kwa asilimia kwa ajili ya field je ni kweli ilipitishwa?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nimekuwa nikifuatilia matokeo ya matokeo ya shule nyingi lakini cha kushangaza siku matokeo yanatangazwa katibu mkuu balaza la mitihani alisema kiwango cha kufaulu kimeongezeka...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kwa wale wenye ufahanu kuhusu qualification za DIT au ambao mmesoma hapo au mna ndugu zenu hapo nisaidieni kwa matokeo yangu haya naweza kupata nafasi katika ordinary diplom in Labaratory...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Heshima zenu wakuu.. Naombeni taarifa ya sehemu nitakapoweza kupata scholarship kwa vyuo vya hapa nchini kwa ajili ya Masters. Mimi napendelea zaidi SUA kwa kuwa digrii yangu ya kwanza niliipata...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Naomba msaada wa mawazo yenu jamani.nilimaliza form six mwaka jana,nikapata division 2.10 katika combination ya Hge,nilichaguliwa chuo cha uhasibu katika fani ya economics with finance,lakini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Download: http://www.4shared.com/office/ORCOPBlY/Strategic_Marketing_Management.html
1 Reactions
0 Replies
149 Views
Jamani leo kumekuwa na kizaazaa pale halmashauri ya wilaya ya mvomero,moro,eti walimu wamepigiwa simu wafate pesa zao kufika huko wale wa stashahada wanaambiwa wasaign 135,000kwa stashahada na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
.......
0 Reactions
0 Replies
887 Views
Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kushuka kwa kiwango cha elimu katika nchi yetu hasa katika matokeo ya hivi karibuni ya kidato cha Nne na Sita. Ni kweli kuna matatizo mengine ambayo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wadau naomba mniambie ni shule zipi Dar es salaam mwanafunzi anaetaka kurudia kidato cha nne anaweza kupata nafasi ya kuwa full time darasani.Angalizo sio bora shule bali ni shule bora.
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Jamani watu wa mwanza,nataka shule yenye mchepuo wa EGM boys bording priveat nzuri,niweze kumpeleka kijana wangu. Mwenye kujua naomba anijuze niwai chukua form.
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Mimi sikubahatika kusoma UDSM, lakini wale waliosoma pale na wale waliosoma vyuo vingine tunakubaliana kuwa Udsm ni taasisi inayoheshimika sana barani Afrika. Hii inatokana na jitihada za walimu...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Physics-B chemistry-A MATH-B ZNGNE ZOTE D.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Being the member of this libs,i have learnt that with efforts nothing is impossible. I was talking to the owner of this lib Mr Kalembe, and he pointed out that if the community will wake up and...
0 Reactions
1 Replies
847 Views
Back
Top Bottom