Naombeni msaada wadau,nina mtoto wangu amemaliza form 4 na kufaulu masomo ya sayansi ila anataka kusomea uafisa tabibu.Je kwa elim yake ya form 4 anastahili.
Hivi karibuni tumeshuhudia jinsi ufaulu wa kidato cha nne( csee 2011) ulivyokuwa duni, mbali na hapo tumekuwa tukishudia jinsi wanafunzi wanaorudia mitihani yao( prvt canddets) wanavyokandamizwa...
KATIBU Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), Dk. Joyce Ndalichako amesema vyeti vya elimu vya Tanzania vitakosa heshima kimataifa endapo suala la udanganyifu wa mitihani litaendelea...
Jamani mdogo wangu wa kike amepata Div IV.31 yan mchanganuo ni kama ufuatavyo: Civ-D,Hist-F,Geo-F,Kisw-D,Engl-D,Lit-D,Bio-F and B/math-F. Jamani nisaidieni anaweza fanya nini kwa matokeo hayo?.
Wanajamii,
mimi nina mdogo wangu wa kiume na kwasasa ana miaka 27. Huyu mdogo wangu alifanya CSEE mwaka 2010 na kupata division IV. Akarudia mwaka 2011 kama Private Candidate na kupata alama...
Kwa wale walimu woote ngazi ya cheti na stashahada kulikoni hadi leo hakieleweki kuhusu btp nina mdogo yupo chuo huko hadi leo haieleweki kama hiyo btp itakuwe kwa inasemekana serilali haina fedha...
Resonate Consulting Group Limited (RCG) has organized intensive CISA review classes geared toward developing knowledge and practical skills to enable CISA candidates to pass CISA exam to be held...
Heshima wakuu....
Ninayo admission ya masters katika chuo cha kilimo SUA Morogoro. Tatizo ni kuwa nimekosa scholarships. Naombeni msaada wa taarifa ni namna gani naweza kupata scholarship kwa...
Huu ni ubinafsi au ufisadi?
Watoto wa vigogo kama marais, mawaziri, majaji, wabunge nk kupata mikopo halafu washindwe kuirudisha kwa wakati!
Watoto hawa wa vigogo kupewa mikopo wakati watoto wa...
http://196.44.162.33/necta2011/CSEE%202011/s1513.htm
CNO
SEX
CANDIDATE NAME
AGGT
DIV
DETAILED SUBJECTS
S1513/0001
F
AGRIPINA ALEX MASSAWE
26
IV
CIV-C HIST-D GEO-D KISW-D...
naomba kama kuna mwanaJF yoyote anayefahamu namna ya kupata past papers za somo la Kiingereza csee. Kwa anayefahamu au aliyenazo (za miaka yoyote nyuma mpaka kufikia 2011) naomba aniPM tafadhali.
Yah: UTAMBULISHO WA CHUO - MUST COLLEGE
Mugerezi Spatial Technologies MUST College ni Chuo kilichosajiliwa na VETA na kinatoa masomo ya mwaka mmoja katika fani mpya ya Spatial Information...
Shule nyingi za Zanzibar zimepewa alama ya W.
kwa mfano
S3000 MAZIZINI ISLAMIC SECONDARY SCHOOL DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 1 DIV-IV = 0 FLD = 0 . hawa ni zaidi ya
wanafunzi 51...
Shule nyingi za Zanzibar zimepewa alama ya W.
kwa mfano
S3000 MAZIZINI ISLAMIC SECONDARY SCHOOL DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 1 DIV-IV = 0 FLD = 0 . hawa ni zaidi ya
wanafunzi 51...
Hv hz shule za kata zilianzishwa lengo likiwa nini?maana asilimia 99.9 wanaomaliza wana div 4,wengi wao ni ziro.sasa zilijengwa kwa ajil ya kukuza watoto?
Mimi ni mjasiriamali mdogo najishughulisha na ufugaji wa kuku. Je kuna mtaalamu anayeweza kunisaidia Tiba za dawa za asili au tiba mbadala kama kiswahili cha sasa kinavyosema kwa ajili ya kuku?
Wadau, habari zenu hapa jamvini....
mnamo tarehe 03 feb 2012, majira ya saa 10 jioni, shule ya sekondari mnacho iliyoko wilayani Ruangwa mkoani Lindi ilikumbwa na balaa la kimbuga lililoendana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.