Waungwana Habari! Nina kijana wangu (Male) amemaliza form four mwaka huu na kapata kama ifuatavyo
Civ = B
Hist = C
Geog = C
Kisw = C
Engl = C
Bio = D
Comm = D
B/Keep = D
B/Math = F
Nataka...
Hivi imekaeje hii? Feza Secondary na shule zetu za kata kupewa mtihani mmoja? Wakati Feza Sec inakila kitu, walimu wazuri, vitendea kazi, ni haki kweli? Haya na hili la secondary za serikali...
Mbunge wa Ukonga (CCM), Eugen Mwaiposa, ameitaka Serikali kuwapima akili watahiniwa wa kidato cha nne waliaondika matusi na nyimbo za bongo fleva katika karatasi za majibu ya mitihani yao ya...
Hallo Friends.
I would like to study in China this year, any assistance on scholarship?? where can i get scholarships? I am will, i will be more thankful for any assistance.
Thanks
Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha iaa (institute of accountancy arusha) BEF (bachelor of economics and finance) first year, naombeni ushauri sijui baada ya kumaliza chuo ntafanya wapi kazi na pia...
Tunalaumu sana kuhusiana na matokeo ya kidato cha nne, tunasahau pia na wanafunzi siku hizi wanajiachia sana. Asilimia kubwa ya waliofeli ni kutokana na ujinga wao na uhuru mkubwa walioachiwa...
Nimefuatwa na ndugu yangu mmoja mabaye amefanikiwa kuwa-shortlisted kwa ajili ya dinner interview baada ya kufanikiwa kwenye written na oral interview. Binafsi sikuwahi kupita ktk mchakato huu...
Mwenye CBG anaweza kusoma degree ya Nursing, Vet. Medicine,Human Nutrition,...... Wanaiita comb.ya kike,ina Biology ambayo kidogo ni ngumu kumeza...endeleza maoni wana JF.
Kwerekwekwe msumeno.....Kukata ni
kazi yake
Kibogoyo aso meno.....Muhogo adhabu
kwake
Malenga nna kineno.....Nipeni upeo
wake KILA TAWI NSHIKALO.....MWENZENU
LANITELEZA Nilikua...
Matokeo ya kidato cha nne hayakua mazuri ila nina B-english,C-kiswahili na C-biology.Niko tayari kwa shule yenye nafasi nzuri yenye kufaulisha wanafunzi wa kidato cha sita na yenye mazingira...
Katibu mtendaji mkuu wa baraza hilo Dr Joyce Ndalichako amesema mmoja kati ya wanafunzi waliofanya mtihani huo alifikia hatua ya kuandika mashairi ya bongo fleva baada ya kukosa cha kujibu...
..nilikuwa kule mzalendo.net nikakutana na malalamiko ya waZNZ kuhusu matokeo ya form 4.
Yakhe nimepigwa na bumbuwazi. Sijui niseme nini kuhusu kufelishwa (KUFELISHWA0 vijana wetu, watoto wetu...
Nipo njia panda, nafikiria kusoma post graduate, naomba ushauri kati ya finance na procurement, ipi soko lake la ajira ni kubwa?
help please wana jf....
Hili dogo sasa baada ya kupata
div IV 27,
Phy D
bio C
chem D
kis D
maths D
geo D
eng F
His F
Civ D
NINALIAMBIA LIENDE NURSING LINAGOMA
kuhusu kurisi linasema angalau, sasa hv mtu...
Shule ya sekondari mnacho iliyopo wilayani Ruangwa mkoani Lindi, inahitaji msaada wa haraka ili kuwasaidia wanafunzi wanaosoma kwa shifti kutokana na balaa la kimbuga kilichoikumba shule hiyo...
Kwa mara ya kwanza ninaweza kulishinda baraza la mitihani NACTE mahakamani.
Nia ya mashataka yangu ni kutaka Mahakama kuu iruhusu mitihani yangu kusainishwa Upya kuupita Externa examiner.
Sababu...
Dharau aliyoonyesha afisa elmu, almanusura imtokee puani, baada ya kutaka kuwalipa walimu hela ya siku3 kujikimu,baada ya siku7. Walimu wote walgoma kuichukua.....
"msimamo na umoja ndo nguzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.