Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jamani wana Jf naomba msaada wenu, nahitaji kujua ni vyuo vipi & vinapatikana wapi, vyenye kutoa CHETI /DIPLOMA ya fani ya Librarian. Kwa mwenye kufahamu naomba anijuze, & ikiwezekana anipe na...
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Kuna haja ya kurudi nyuma tuangalie malezi na lishe ya watoto hadi wanapokuwa mashuleni,mana akili zimekuwa maji kabisa hakuna changamoto.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau mwenye contact za shule ya sec ya sangu mbeya au kama una mwanafunzi wa high school anaesoma hapo anaweza nisaidia. Nawakilisha
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Kwa baadhi ya wahitimu wa kidato cha nne wameonekana kuwa wali-cheat katika mitihani yao napendekeza uchunguzi mwingine uanzie kwa mwanafunzi "Mwanaasha MK" kwani alama zake zinatia mashaka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Amemaliza shule ya st.Matthew's S1071/0102 F JESCA JOHN MAGUFULI 30 IV CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F
1 Reactions
49 Replies
21K Views
Jkt,kwa nini lisipelekwe kwenye shule zetu za kata kuokoa elimu,kwa sasa jeshi lina wasomi wengi na wakutosha kufundisha nchi kwa nn wakae kambini tu?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Mchezo wenyewe ni huu. Shule ya Hamamni na Haile salas ,Bembela zipo pua na Mdomo.Ukisema yeye anakusikia. Shule hizi mbili hazipugui wanafunzi 500 kila moja. Hamamni asilimia 90 wamezuiwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu,imekua ni jambo la ajabu sana kua unaweza kuona baadhi ya wanafunzi huwa wanafaulu karibu mihula yote wanayokuaga darasani na vidato mbali mbali lakini inakuaga vigumu sana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
http://196.44.162.14/necta2011/CSEE%202011/s0110.htm S0110 ILBORU SECONDARY SCHOOL DIV-I = 40 DIV-II = 23 DIV-III = 24 DIV-IV = 14 FLD = 1 http://196.44.162.14/necta2011/CSEE%202011/s0140.htm...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Matokeo ya Form Four Yametoka, Kwa Mara Nyingine tena Zaidi ya Aslimia 80 Wamefeli. Tuyaangalie haya Matokeo katika Mtindo Mwingine ambao uko Tofauti na Mtindo ambao NECTA wametumia...
3 Reactions
15 Replies
5K Views
s1806 yusuf makamba secondary school div-i = 1 div-ii = 7 div-iii = 18 div-iv = 139 fld = 185
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau naomba mwenye ushauri wa kisheria atusaidie, ndugu zangu wawili mmoja mwanamke na mmoja mwanamme, wanasoma shule tofauti wamefutiwa matokeo. Hapa nyumbani ni majonzi matupu. Yaani bora...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa muonekano wa matokeo yalivyo ukiacha sababu nyingine, ni dhahiri kuwa walimu nao wapo katika mgomo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kweli huu si uungwana wadau, nimepita kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii ya kibongo watu kibao wanaponda kufeli kwa mtoto wa president JK! Kwani whats so special about her, nae si alikuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakimaliza madaktari na sisi wanavyuo tunafwata.... Haiwezekan mwanafunzi una vigezo vyote afu mkopo usipewe..
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jaman wote tuliopata matokeo yet ya form four na kubahatika kushinda na kuendelea na masomo ya advance tuungane leo kumshukuru MUNGU KILA mmoja kwa imani yake.kwani o'level ni daraja kubwa na...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Wamefeli kweli kweli wenda kuliko mwaka jana, tembelea website ya necta au wizara.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
jamani kama matokeo yalivyoonyesha wadogo zetu wamefeli sana hasa katika shule za kata,,je,wote waliofeli wataenda wapi??naombeni mchango wenu wanajamii...:A S-confused1::help:
0 Reactions
3 Replies
3K Views
In today’s world a manager is faced with numerous responsibilities that require undivided attention. There is so much to give and there is less improvement on the self. Rarely do managers take...
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Funnunu zipo nyingi but naomba tujulishane hapa?
0 Reactions
76 Replies
44K Views
Back
Top Bottom