Wadau naomba maoni yenu,kuna dogo anahitaji ushauri..kapata div 4 ya 26,
Ana C ya basic maths na C ya chemistry the rest ni D!
What shud his next move be?
Sheria ya mwaka 1978 iliyotumiwa na waziri wa vijana na michezo mh. E nchimbi kuwakandamiza waschana wanao pata uja uzito wasiendelee na masomo inawalenga wanafunzi wanasoma shule za serikali.je...
HAYA KAZI KWENU --- USISAHAU KUGONGA "LIKE" BASI ILI NA MIMI ZIONGEZEKE
www.necta.go.tz
http://www.moe.go.tz/NectaResults/olevel.htm
OLEVEL: http://196.44.162.14/necta2011/olevel.htm...
Nimeshangazwa sana na taarifa ya matokeo ya kidato cha nne,uchungu ulizidi ikabidi nicheke ili niupunguze kidogo....nilijua ni mwonekano wa kimavazi tu wa nje....ile kupiga mlegezo kumbe mpaka...
BARAZA la Mtihani la Taifa(Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika mwaka jana yanaonyesha kuwa asilimia 53.59 ya wanafunzi 426,314 waliofanya mtihani huo wamefaulu...
Kwa wale wanao wish kuendelea na masomo yao kwa level ya Masters jaribuni zali hilo..
Planning to get a Master in France?
Vous souhaitez effectuer un Master en France ?
The French Embassy to...
Jamani hii shule serikali ina mpango gani???
mwaka huu
div 1=hakuna
div i i= 5
div i i i =11
div iv =122
div 0=137
ADA NI KWA WALE WA HOSTELI NI ZAIDI YA MILIONI...
Reading this book 'Rich dad-Poor dad' by Robert Kiyosaki and it says,the most dangerous advice you can give a child is 'Go to school,get good grades and look for a safe secure job.
Wadau...
Unaweza ukadhani ni masihara ila ni ukweli mtupu Shu,e inaitwa Masela sec school na matokeo yake ni haya:
div-i=0, div-ii=0, div-iii=0, div-iv=9, FLD=10.
Tusubiri kuona comments za maaskofu maana hali ni mbaya katoka shule zao, kweli nimeamini serikali ya CCM kiboko hakuna wizi tena wa mitihani, Vihiyo watakwisha soon, na ukweli utajulikana...
Salaam wana JF!
Katika kuperuziperuzi mtandao, niliweza kukutana na majadiliano ya wanazuoni wanaosoma katika vyuo mbalimbali nje ya Tanzania.
Na mjadala mkuu ulikua ni juu ya kwanini katika...
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UENDESHWAJI WA UDAHILI - ELIMU YA JUU KWA MWAKA WA MASOMO 2012/2013UTANGULIZITume ya Vyuo Vikuu Tanzania (Tanzania Commission for Universities-TCU) ikishirikiana na...
Ukimya wangu humu jamvini ulinisogeza karibu na Wasahihishaji wa Mitihani ya Kidato cha nne.Wasahihishaji wamenidokeza kuwa kutokana na kufanya vibaya kwa wanafunzi wa kidato cha nne waliomaliza...
Jamani kama kuna mwenye taarifa juu ya matokeo ya f4 aziwekwe jamvini maana tumesubiri hadi tunakuwa impatient. kuna tatizo lolote huko jikoni jamani au ukata umefika huko nako?
Unaweza kupata Result Slip yako hapa ya Form VI, 2009
Just ingiza number yako kama ilivyoelekezwa hapo utapata Slip yako Printable to Hard copy or to pdf na inakubaliwa kwenye applications za...
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2011.
Matokeo ya kidato cha nne 2011 yametoka RESULT
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2011 ~ Hassbaby's (Mapacha)...
Kwa matokeo haya ya kidato cha nne, wanafunzi wengi wamepata divison zero yenye F zote. Hii kwamba hawawezi kusoma, wavivu, au matatizo ya shule? Hata kama ni hivyo, basi naona kusoma ni kugumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.