HATUA ZA KUPATA UDHAMINI UGHAIBUNI (4)
NA: ERNEST BONIFACE MAKULILO (MAKULILO, JR.)
CALIFORNIA, USA
Mfululizo wa hatua za kupata udhamini Ughaibuni unaendelea. Leo hii tunaangalia Sampuli ya...
kwa wale tuliwahi kusoma pale shinyanga commercial institute a.k.a shyom bila shaka mtakuwa na mambo kadhaa wa kadhaa ya kujikumbusha hakika kulikuwa na mambo mengi mazuri na ya kukatisha tamaa...
Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kinahitaji Mkuu wa Chuo baada ya aliyekuwepo kumaliza muda wake 05/01/2012. Sheria inaruhusu Mkuu wa Chuo aliyemaliza muda wake kuteuliwa tena ingawa ameomba...
Ni muda mrefu sasa Wizara ya Elimu imekuwa ikiteua wakuu wa Vyuo ambao ni Wazee na wengine walishastaafu. Je kupeana ulaji au hakuna wengine wanaoweza kuongoza? Anapoteuliwa Mkuu wa Chuo ambaye...
Wanafunzi Zaidi ya 400 waliomaliza stashahada ya Elimu mwaka 2011 hawajapangwa ktk vituo vya kazi na serikali kutokana na digrii inayotolewa hapa chuoni kutotambuliwa na TCU.
Kuna mkuu wa shule moja inayomilikiwa na kanisa maarufu maeneo ya katiti arusha hawezi kumwajiri mwl. Wa kike hadi afanye nae tendo la ndoa, inasikitisha sana ukizingatia shule yenyewe...
Kumekuwepo na majadiliano ya muda mrefu watu wakijadili kuhusu elimu hii na wengi kujadili bila kujua maana yake. Tunaweza kutafsiri kwa njia fupi tu kama Critical thinking. Kuna wanaofanikiwa...
Maneno haya huwa tunatumia kila wakati hata kwenye kadi zetu za mialiko.
Kitchen Party-sherehe mfundo
Send off- sherehe muago
Massage- kusigwa
Salon- Chega
Snake discovered in Tanzania two years ago has been named after seven-year-old girl
reddit this
Associated Press
guardian.co.uk, Wednesday 11 January 2012 11.23 EST
This striking...
Jamani nini sababu ya matokeo haya kucheleweshwa! Maana watu hawaishi vizuri bali nikupata presha juu ya watoto wao na wanafunzi wenyewe! Mwenye lakusema aniambie ni lini?
Waalimu ajira mpya waliamua kulala ukumbi wa halimashauri jana tr 3/2/2012,baada ya kuona mambo hayaeleweki,hawajapewa pesa za kujikim,leo mkurugenzi ameewambia hawana pesa,hivo waende...
katika halli isiyo tegemewa waalim walio ripoti katika vituo vyao wameambulia kulipwa pesa ya siku saba ambayo nayo imelipwa kwa baadhi ya almashauri tu kama vile segerema na msoma huku ikisisi...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa!Naibu Waziri wa Elimu atatangaza rasmi matokeo ya mtihani wa Kidato cha nne 2011.Habari hizi ni kwa mujibu wa msemaji wa wizara!
Niko kwenye basi toka Bunda kwenda kuripti DSM -Temeke, nilikopangwa post yangu ya ajira ya ualimu,
lakini nimewasiliana na wenzangu watatu ambao washaripoti mmoja yuko temeke kaambiwa warudi j4...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.