kuuliza si ujinga eti wadau hivi mtu mwenye shahada ya BAED anatofauti gani na yule mwenye shahada ya BED kwani naona wote wamesomea tLUUM moja msada pls
VIONGOZI wamekuwa wakitupiga fiksi miaka yoote, ooh Kiswahili lugha ya taifa, ooh tujivunie Kiswahili, ooh tukienzi Haya sasa nimejifunza Kiswahili kwa bidii na cheti nimekipata. Nakaa nasubiri...
Hi JFs,
Naomba nieleweshwe,....watahiniwa wa kujitegemea huwa wanapata maksi za chini sana (tukiacha suala la ukilaza). Nilijaribu kuulizia sababu lakini nikajibiwa na watu ninaoamini sio...
Inholland university ama Inholland hoogschool diemen,kimepata scandal ya kuwa kimekuwa kikitoa vyeti kirahisi kwa ajili ya kupata subsidy serikalini,wanafunzi waliomaliza karibuni imewachanganya...
Kwa wale siku za mbeleni watataka kuja kusoma in the Netherlands wawe makini na hichi chuo cha Inholland hoogschool diemen ni chuo fake,kimekuwa kikitoa vyeti kwa urahisi kwa ajili ya kupata...
Kwa wale waliosoma A-level, nafikiri watakuwa wanakumbuka sana mambo yalivyokuwa walipokaribia kufanya mtihani wa F6. Nachukua fursa hii kuwataki mtihani mwema F6 wote.
Mungu awabariki sana
Awatie...
Ndugu wadau wa Jamii Forums (Jukwaa la Elimu)
Kama hapo awali nilipowadokeza kuwa ninaandika kitabu kinachohusu mambo ya udhamini wa elimu ughaibuni...jina la kitabu ni SCHOLARSHIP OPPORTUNITIES...
Wanajamvi mpaka sasa hivi kuna jamaa zangu wananipigia simu wametelekezwa vituoni huko Sengerema.Chaajabu mpaka sasa hawajui ni wapi wamepangiwa kazi na wanataka msaada sehemu ya kulala.Aliye...
Jaman cc ambao tulionyimwa mkopo yan NO LOAN tunateseka sana huku vyuoni na tumeappeal lakini chaajabu ni kwmba mpaka sasa loan board ipo kimya sasa wengine wanakosa matumaini ya kuendelea na...
Taarifa za Africa mashariki (itv), zilikuwa na habari isemayo Uganda imepandisha bei ya kuwaona Sokwe hadi kufikia $750 kwa watalii wa nje. Kuangalia picha naona ni gorilla na sio sokwe...
HABARI ZENU WANA JAMII FORUMS NATAFUTA MTU WA KUSOMA NAYE ACCA FINANCIAL MANAGEMENT F9 ALIYEKO MWANZA KWANI NAMI NIKO MWAMZA KIKAZI KWA SASA.NAMAANISHA KUSOMA KWA NJIA YA DISCUSSION.KWA ALIYE...
As-salaam ndugu zangu wa jf.
Naamini wote wazima wa afya,mimi huku mzima,hofu kwenu muliombali nami.
Madhumuni ya barua hii ni kuwafahamisha mnamo siku ya jumatatu,tarehe 6 jan 2012...
UDHAMINI WA ELIMU UGHAIBUNI: AMERIKA vs ULAYA
Na: ERNEST BONIFACE MAKULILO (MAKULILO, JR.)
Watu wengi wamekuwa na ndoto za kupata elimu ya juu ughaibuni siku moja ili kubadilisha hali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.