NA: ERNEST BONIFACE MAKULILO (MAKULILO, JR.)
CALIFORNIA, USA
Ufuatao ni muendelezo wa hatua za kufuata ili mtu uweze kupata udhamini wa elimu ya juu ughaibuni. Na katika wiki iliyopita tuliona...
UDAHILI vs. UDHAMINI
Na: ERNEST BONIFACE MAKULILO
CALIFORNIA, USA
Kumekuwepo na sintofahamu kwa watu wengi katika dhana kuu mbili, Udahili na Udhamini. Sintofahamu hii imepelekea watu kuanza...
REMINDER NOTICE TO ALL LOAN BENEFICIARIES WHO HAVE NOT STARTED TO REPAY THEIR HIGHER EDUCATION STUDENTS' LOANS The Higher Education Student' Loans Board (HESLB), hereby notifies all loan...
mimi nataka kubadili jina langu na nataka nitumie jina langu la ukweli na picha yangu mardadi kama mtoto wa kike hapa JF make pia nataka kupata mume,hivyo basi nielekezeni namna ya kubadili hili...
Kwakuwa watoto wao wanakwenda hizo St nini sijui na Academy gani sijui hili kwa Waziri hawoni shida kulitamka kwenye majukiwaa na kugeuka kuwa sera. Mahesabu yake hayasomeki kabisa maana hata...
Mimi binafsi sijafurahishwa ni haya mambo ya kuendekeza ukoloni. sikatai watoto wetu kufundishwa kingereza, lakini hii ya kuwafundisha kuimba wimbo kwa kingerrza napingana nayo. unamfundisha wimbo...
Tanzanian 50 years Independence Scholarship 2012 for Masters Courses, UK : 2012 2013 College Scholarships, PhD Scholarships, Postdoctoral, Graduate International Scholarships Fellowships
Wana JF naomba mwenye CV ya makamu wa rais mr. Bilali aiweke adharani bs kuna kuna habr ambazo kwangu mm bado ni tetesi kuwa mkuu huyu ni Dr. wa mambo ya kemikali na sana kwenye teknolojia ya...
Habari wanaJF?..mi ni mwl mpya(graduate) nauliza hv unaporipoti kituoni ndo unapewa hela ya kijikimu(siku7)pamoja hela ya mizigo(tani kulingana na km),napata siku hiyo hiyo? msaada tafadhali!
leo tarehe 28 mida ya sa 1 ucku...nimekaa home ghafla nje naskia kelele...nauliza nn?!jibu nililopata results 4m 4 tayr...kabla cjakurupa wana jf na wanaskonga em nambieni pana paukweli hapa...
Yadaiwa kuwa kutokana na uchakachuzi, matokeo ya kidato cha nne yatachelewa. Inasemekana kuwa matokeo hayo yanachakachuliwa kutokana na kuwa mabaya kiasi cha kutisha ambavyo ingeweza kuleta aibu...
Matokeo kidato cha nne mbona haieleweki ni lini, mara walisema ni tarehe 16/1 sasa wanasema ni tarehe 14/2; huku si ndiko kuchanganyana jamani? Tafadhali sana NECTA muwe static.
TANGAZO
KWA WANAFUNZI WOTE WALIOWAHI KUFUKUZWA VYUO VIKUU
NCHINI TANZANIA.
Awali ya yote, tunapenda kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema, ambaye amekuwa nasi katika harakati za...
Bill Gates predicts that 5 years from now(2010) on the web you ll be able to find the best lecture in world,better than any single university. True or false?
Nawatakia wanafunzi wenzangu wa IFM ,maandalizi,na mafanikio mema ktk mithahan inayoanza kesho j3.
Cha muhimu ni kukomaa na ulicho nacho kichwani,other materials ni hatari saaaaana kama mnavyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.