Subirini kidogo tu. Yanaweza kutoka Jumatatu ya tarehe 30 Januari 2012. Muda mfupi uliopita niliongea na mtu wa IT huko NECTA ambaye aliniambia yangetoka leo lakini kuna tumarekebisho kidogo.
I was doing a research regarding computers and i got to find out about www.stonehouse.co.ke A company that sells computers which are extremely energy efficient,are powered by solar and have...
Wanajamii.
Nimeletewa mwaliko wa kunijuza kuwa Kesho taarih 23 Jan 2012 kutakuwa na Mahafali katika Chuo Kikuu cha Zanziba (Tunguu) na mgeni rasmi atakuwa Rais wa SUK Mh Dr Alli Moh'd Shein.
Kwa...
Wapendwa wanangu mnaoanza mitihani yenu leo,
Nawatakia kila la kheri katika mitihani yenu inayoanza leo. Bila shaka mmejiandaa vizuri.
Mungu awe nanyi -AMEN
(and all those who are looking forward to their exams).
EXAMINATION SKILLS
E=>ENTER the exam room in time and ensure that you have the necessary materials.
X=>XENOPHOBIA and panic may be...
...Elimu ya Tanzania sasa IMEKUFA RASMI.
Waziri wa Elimu amethibitisha bungeni, tena bila kigugumizi wala wasiwasi kwamba wanafunzi WALIOFAULU kuingia kidato cha kwanza watafanyiwa kijimtihani...
Ni baada ya kusoma uzi wa MwanaJamii aitwae VUTA-NKUVUTE humu javini kuhusu kuchakachuliwa kwa matokeo ya Kidato cha nne waliohitimu mwaka 2011,ndipo nikasukumwa na dhamira ya kutaka kujua...
Miaka ya mwanzoni baada ya uhuru Mwl. Nyerere alitangaza maadui wakuu watatu ambao ni ujinga, maradhi na umaskini. Hivi karibuni vijana wa sekondari wamekuwa wakifeli kwa wingi. Hakuna hatua...
Kwa kuwa soko la bidhaa hapa nchini limevamiwa na uchakachuaji,nikiamini kuwa vifaa vya ujenzi vikiwamo nondo navyo vimeathiriwa na hali hii.
Najua kuna nondo zinaingizwa kutoka nje ya nchi kwa...
Shikamooni wakubwa!!! lakini mi niko at 30's yrs!!!
Jamani nna B.A.ACCOUNTING AND FINANCE..... naomba msaada wenu nishauri masters mzuri, iliyosokoni nikasome.....
MBA(CM), MSC. ACCOUNTING...
Inakuwaje mtu umepata nafasi ya kwenda chuo kikuu umekidhi vigezo vyote kama muda wa kufanya kazi zaidi ya miaka 3, mwajiri anakuruhusu huku akicomment kuwa utajisomesha na kujigharamia gharama...
hello! JF am study Diploma II of accountant at COLLEGE OF BUSINES EDUCATION,Dodoma campus.
Naitaji kuuzuria seminal mblmbl z field yng problem i dont were 2 find those semina it in order 2...
Kuna majina ya wadaiwa wa Bodi Ya Mikopo yamewekwa kwenye mtandao wa Bodi hiyo, cha kushangaza ni ubabaishaji wa watendaji wa taasisi kubwa na nyeti kama hiyo, kuonesha dhahiri kuwa hawana data...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.