1. Hivi ni kwa nini watoto wanaorudia mtihani ni lazima wakatwe alama? kwani kama jana sikuelewa ni dhambi kuelewa mwaka huu? kwani lengo la elimu si ni kuelewa? au kuna lengo jingine?
2. kila...
yani ndio tunaanza mitihani ya kwetu ya mwisho wa kumaliza kidato cha sita. Kuanzia tarehe 8 febr. Mpaka tarehe 14 febr ndo nitamaliza nitarudi jamvini sintakuwepo rasmi. Waliopo chuoni naombeni...
Kwa nafasi yako,utajiri wako haramu na kufanya kazi kwako,tafadhali utakapokwenda kulipa deni lako la pale Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu,ukanilipie na mimi.Ifahamike kuwa Ridhiwani Kikwete...
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UENDESHWAJI WA UDAHILI - ELIMU YA JUU KWA MWAKA WA MASOMO 2012/2013
UTANGULIZI Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (Tanzania Commission for Universities-TCU)...
Wana jamvi Je Necta kufuta mitihani ya kidato cha nne kwa baadhi ya Wanafunzi na kuwafungia wasifanye mitihani kwa miaka minne ni halali? Je nini chanzo cha kuwafutia Mitihani? Je kama tatizo ni...
Utafiti ulofanyika umethibitisha kwamba ukosefu wa madawati mashuleni ndio sababu mbadala ya matokeo mabaya kwa wanafunzi wa kike; hii imethibitishwa na Mkuu wa Wilaya ya Kibaha huku akitoa sababu...
...Habari ambazo ni za uhakika nilizozipata juzi ijumaa ni kuwa wahadhiri wa chuo kikuu cha Dodoma wanaendelea kulalama juu ya maisha magumu na kunyanyaswa na DVC PFA Prof.Shabaan Mlacha...Mteule...
Necta kwa mara ya Kwanza inajikuta ikiingia katika kashfa ya kuchakachua matokeo ya Zanzibar.
Wasomi mbali mbali wa Zanzibar wameanza kuandaa Ushahidi unaonyesha Jinsi ya NECTA ilivyofanya...
Waliofutiwa mtihani wengine walifanya vizuri kwa akili zao. Hivyo kujua aliyekuwa amepata mtihani kabla ni kuwapa mtihani mwingine ambao wataufanya ili wasipotezewe wakati wasiohusika na...
Jmn mm nauliza, ktk soko la ajira, hv m2 aliyesoma chuo cha Uvuvi na aliyesoma chuo cha mifugo yupi atakuwa juu (kimshahara+kupata ajira)..?
Na kipi? Utapa kazi Mapema
Watanzania wenzangu inasikitisha sana kuona viongozi wetu wote serikali na upinzania kushidwakutatua matatizo ya elimu Tanzania. Inajulikana fika kwamba Tanzania kunatatizokubwa la walimu na...
Lula wa Ndali Mwananzela
WAKATI mwingine natamani ningekuwa na uwezo wa kuwatia bakora baadhi ya watu wanaozungumzia suala la maelfu ya wanafunzi kufeli vibaya katika mtihani wa kidato cha nne...
Baada ya wanafunzi wengi wa kidato cha Nne kutangazwa wamefeli, Baadhi ya wazazi wamesikika wakilaumu kuwa "Mwanangu amefeli hata ualimu hawezi kwenda. Hoja yangu hapa ni juu ya mtazamo wa jamii...
Mmoja wa viongozi wa Shule maarufu Dodoma inayoitwa Yang Jai ametandika mwalimu bakora mbele ya wanafunzi. Haikuweza kujulikana nini hasa chanzo cha huyo mwl wa wanafunzi wa shule ya awali.
Ajabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.