Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

hohhohoh........tyityityityi..............:lol: madogo inasemekana kuwa mmefeli kuluiko miaka yote du! Nooomaaaaa
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wasomi naomba msaada hapa. Nimemfatilia sana Rais wa nchi hii na kugundua kuwa ni mtu ambaye hakumaliza masomo yake ya secondary, nimemfatilia kwenye hotuba aliyotoa wakati anaongea na wazee wa...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
mtazamo wangu tuu wakuu. kitendo cha wazazi na wanafunzi wa shule ya ikwiriri kuandamana kushinikiza mkuu wa shule afukuzwe kazi kwani kiwango cha ufaulu kimeshuka saana shuleni hapo...
0 Reactions
0 Replies
861 Views
hua najiuliza ni kwanini maeneo mengine ni kuna joto sana mfano DAR n mengine baridi sana kama artic kule uingereza...na nini kina sababisha utofauti huu?na ni kwanini eneo moja lina experience...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau wote waliomaliza form six wanaotaka kwenda kupiga DEGREE au kwa wakuu wanaotaka Nondoz za Masters,chuo hicho kipo poa sana na kinatoa fedha ya kutosha(Almost utasoma bure)..na kwa sasa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba msaada ,jinsi ya kupata material masomo ya NBAA - attech 1. Na ndugu yangu yuko shinyanga, kanitaarifu ni msaidie sababu nipo dar. Mwongozo wenu wakuu.
0 Reactions
0 Replies
36K Views
Wasuaso wenzangu nawatakieni maandalizi mema ya mitihani ya kumaliza semester inayoanza jumatatu tar 20 feb ni matumaini yetu wote kwamba mungu atatenda kadri ya uwezo wake najua ni kipindi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wadau nakumbuka miaka hiy Olevel tukifundishwa masomo mbali mbali ya sayansi. kuna badhi ya mambo ilitakiwa tufanye practical lakini kutokana a kutokuwepo maabara na vifaa tuliishia kukariri...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu, naomba muongozo, kuhusiana na upatikanaj wa material ya Attech 1 - NBAA, na ndugu yangu yuko mkoan shinyanga, kaniomba msaada kwa kua niko dar. Note: samahan km ntakua sijafafanua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Niko kwenye tv nafuatilia Hotuba ya mh,PM na Madaktari ndipo nilipogundua kuwa kumbe kiapo chao madaktari kinawaruhusu wazi kufanya mgomo ili kutekeleza kiapo chao walicho apa .Swali kwenu waalimu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
ndugu zangu wa JF naomba yeyote ana taarifa wapi naweza kupata syllabus ya masomo ya PCB au kama mwenye kujua link yenye kuipata naomba anisaidie.Naombeni sana dada na kaka zangu mwenye kuipata...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
kutokana na mabadiliko ya mtaala ya kidato cha tano na sita mwaka 2005 na 2007.kaka zangu na dada zangu naombeni msaada wapi naweza kupata mitaala mipya ya masomo ya PHYSICS CHEMISTRY NA BIOLOGY...
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Jamani nina mtoto wangu ana three ya 24 .kisw C,eng C,Bios B,phy D, chem D,the rest ana D zote.kombi ya kwanza alijaza CBG .anaweza kuchaguliwa kombi gani
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Do anyone here knows where I can find Form Four past papers? Please I really need English past papers or the format of the exam. It could be any past papers! Please help!
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Watanzania wengi tumefurahi kwa shule zetu kupata walimu watakao punguza mass failure kwa watoto wa kitz,lakini je tunajua utata ndani ya ajira hizo,nakupeni kwa uchache tu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna e mail yangu moja muhimu sana kila nikifungua inbox ilkuwa inaonyesha sijapokea email yeyote mpya,lakini juzi internet ilkuwa slow nilipofungua kwa option ya basic HTML connection ikaonyesha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF habari zenu naomba mnisaidie nimemaliza form 4 nimefaulu masomo ya Géography,mathematics sasa nataka kuamua kwenda IT pale IFM au nikasome advance tu kwasababu EGM IMEKUBALI NISAIDIENI KWA...
0 Reactions
2 Replies
997 Views
First of all most of our experts are not competent with the use of compentence based syllabus. secondly teaching and learning methods are not uniform national wide thirdly T/L materials are not...
0 Reactions
0 Replies
609 Views
NINAWATAFUTA JAMAA ZANGU WOTE WA BOX2 AMA SONGEA BOYS HUSUSANI WOTE TULOSOMA PALE KATI YA 1988-91 na wengine wa miaka mingine nikiamini uzawa wa vizazi na vizazi vya box2.NAWASILISHA
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je unamkumbuka Kaaya kwa lipi? Sunspension,upigaji wake,kitambi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom