Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

wale wote mliocaguliwa udom kitengo cha science na hamkupata mikopo leteni mawazo yenu hapa mtueleze sisi wanajamii kwamba mna mpango gani juu ya elimu yenu mtaendelea kubaki nyumbani au harakati...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau naomba kuulizia ada ya kusoma masters degree katika vyuo vya ukraine na russia
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi kwa nn usingekuwepo utaratibu wa kureseat hz paper online hili hawa ndugu zetu wa Makazini wapunguziwe mzigo! me nahisi wabongo tukishirikiana inawezekana km jamiiforum, michuzi, jigambeads...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kwa amabye chuo alisomea busnes sprofession yeyote ambaye alifnya field kwenye credit and lending department plz i need help
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Kwa kawaida tumezoea kutafuta anwani za shule, vyuo na vitu vinginevyo vya muhimu kwa mda mrefu, na unaweza hata ukakosa habari husika uitakayo! Ila kutumia TanzaniaKwetu utapata habari na link za...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Elimu ya tz inachosha. Wanafunzi wa vyuoni huwa wanafanya project, mara baada ya kumaliza wanaziacha na kuchukua marks zao. Hawapati support juu ya hilo. Je, km wangepewa mtaji waendeleze project...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ila tanzania tuko nyuma sana hata provision ya Degree of Online marketing badoo..! kwa mfano wabongo wanajitahidi kutangeneza system za online marketing lakini vyuoni hiyo course haipo ona...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kawaida hapa nchini kwetu tumezoea kusema mimi nafanya kazi huku napiga shule. Na hapo hapo tunaambiwa kuwa mshika mawili moja humponyoka. Kwa upande wangu mimi naona sio sahihi sababu ili...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
President Paul Kagame, on Friday evening, commended the decision by the US-based Carnegie Mellon University (CMU) to establish a campus in Rwanda, observing that it will not only boost the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wapendwa ningependa kujua hawa watu wa CPA wataniadmit vipi couse nimemaliza ordinary diploma ya account pale IFM sasa sijui kama ntaanzia kwenye ATEC au kwenye modules.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Seven out of 10 standard three pupils in the country can not read. The shocking revelation was made on Thursday during the launch of Uwezo Tanzania’s 2011 Annual Learning Assessment report. The...
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Mbona wanachelewa kutoa posts?
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Salaam wakuu,hivi kwa wale waliochaguliwa SUA wanatakiwa wafike chuo lini?
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Wakuu habari yenu kwa ujumla? Tafadhali nisaidieni, nataka kurudi darasani kwa training ya materials management ili kujiweka vizuri kikazi. Mi nafanya kazi kwenye field ya materals management...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hii kitu niliipost kwenye jukwaa la sheria lakini nimeshauriwa na mtu ni post huku kwenye jukwaa la elimu... Wadau naomba mawazo yenu..mtu anamaliza LLB mwaka huu, uamuzi mzuri zaidi ni upi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Waalim wa math's primary,sec,vyuo wamekutana mkoan Iringa kujaribu kubun mbinu za kuwafanya vijana wapende Hesabu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF..! Kama kuna mwenye mtaala wa NACTE kwa Certificate na Diploma ya Computer Science naomba anisaidie. Asanteni sana. Tupo pamoja
0 Reactions
4 Replies
878 Views
Wadau naombeni kuuliza kama kuna mtu yeyote aliyeomba bodi kupitia equivalent na jina lake limetolewa kua amepata au amekosa make mwenzenu jina langu halionekani kotekote. Sijui kama ntapata au...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu,nimechaguliwa chuo hiko,mnisaidie nipate jua gharama zake,nimepata BED- arts mkopo 3,262,500 nawasilisha wakuu cz nimetry kuangalia web yao hamna ki2..
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Wana jamii kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu kazi za real estate specialists hapa Tanzania anisaidie hizo taarifa.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…