Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kwa yoyote anaelewa naona ufafanuzi tafadhali. Mimi ni miongoni niliekosa mkopo lakini baada ya kuangalia breakdown za heslb nimekuta jina langu lipo kwenye kundi la Previous loanees. Hapa sielewi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
UNESCO offers five young journalists and bloggers the opportunity to participate in the 7th Youth Forum of the 36th UNESCO General Conference, taking place in Paris from 17 to 20 October 2011...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani mnisaidie hapa hivi watoto wanapopewa mtihani wa hisabati wa majibu ya kuchagua wanapima nini?,wadau wa elimu tuna domain 3 na vipengele vya katika table of specification,hawa wamewapima...
0 Reactions
19 Replies
11K Views
Nimebahatika kuiona formation mpya ya masomo kadhaa ya mtihani wa form IV,.. Kote sina neno ila tatizo lipo katka mtihani wa chemistry ambapo nimeona kila sababu ya wanafunzi wengi kufanya...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
convert CARBON to BENZENE
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kama kuna yeyote anamfahamu mwalimu wa ala za muziki au yupo hapa naomba uni PM
0 Reactions
4 Replies
1K Views
jamani ndugu zangu nimeapply mara ya pili lkn nilipoingia ktk profile yangu nimekuta programme zangu nne hakuna badala yake wameniongezea programme mbili ambazo sikuziomba na ni nje ya taaluma...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kuna mwanachuo mwenzangu kanipa taarifa kua bodi wametoa majina leo katika gazeti la daily news..na wametoa na majina ya wanafunzi ambao hawaku cmfirm OLAS alafu deadline tar 2 oct..nimejaribu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa wale walioenda wizara ya elimu leo naomba mnijuze yaliyojiri........ 0786107530 au 0763107831 mwambathegreat@gmail.com
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wana jf nlkuwa naomba uhakika juu ya hili suala,kama kuna mtu ana info za kutosha naomba anijuze,coz nataka kuchange chuo frm udom to udsm.Naomba msaada wenu wakuu.Nawasilisha.,bt tafadhali naomba...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
hatimaye Tanzania aft 5 yearz to come watu wenye degree hawatapata ajira wataishia kufundisha shule na nchi itakuwa pabaya hi ni kutokana na output ya graduates kwa wingi
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Wakuu nilikuwa nasoma maelekezo yaliyotolewa kuhusu Ujio wa Intake mpya, mojawapo kilichonishangaza ni kuona viwango vipya vya Ada, wakati naomba kusoma UDBS ilikuwa tsh 1,300,000/= kwa mwaka, ila...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Attention Students... “Amazing, new book reveals...“How To Pass Any Exam without Fear!” If you are interested in Passing Exams without Fear this year, and get better grades quickly and easily...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Unakuta websites hasa zinazohusika na mambo ya kielimu au matokeo ambazo wengi wanazitegemea mfano ya TCU kila siku ukifungua ipo vilevile labda baada ya wiki au siku kadhaa ndio utakuta kitu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Matokeo ya kozi ya HS 319 hayajatoka hadi sasa na tarehe ya SUPP imeshapita. Kwa wale wenye fununu naomba msaada humu, je, kozi hiyo imefutwa?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wana JF nina viulizo vingi sana kuhusu serikali hii Inayoongozwa na KiranJa wa MBAYUWAYU na KONG'OTA, Mkanganyiko hasa upo kwa bodi ya Mikopo (heslb) na TcU Juu ya kuwanyima watoto 13,505 wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ndugu zangu angalie profile zenu muangalie ktk kipengele cha selection result ni kama matokeo tayari kwani mie nimeandikiwa 'SORRY,YOU ARE NOT SELECTED' nimemuuliza rafiki yangu Arusha kaniambia...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Lilian Lugakingira, Bukoba SHULE za sekondari za kata zilizojengwa bila mabweni ya wanafunzi, zinasababisha watoto kuishi katika mazingira hatari, imeelezwa. Kauli hiyo ilitolewa juzi na...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Salam Wana JF. Wazee mwenzenu natafuta nakala ya kitabu kiitwacho Trouble in Form Six. Nilikisoma zamani miaka ya Eighties, kimeandikwa na Cyprian Ekwensi. Tafadhali ndugu zangu.
0 Reactions
11 Replies
582 Views
Nijuavyo wizara ya fedha hugharamikia masomo ya wanafunz ktk vyuo vya TIA,IFM na IAA,kwa anaejua jnsi ya kuupata huo ufadhili awasaidie vijana,me cjui process za kufuata ila 2 kuna rafik yangu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom