Ndugu zangu wana JF naombeni kwa yeyote anayekifahamu hiki chuo cha Kampala International (KIU) vizuri anijuze jinsi tu kilivyo kuhusu masuala ya elimu na mambo mengine Asanteni sana.
Toka TCU watoe majina nakusikia wanafunzi wakilalama ikanibidi nifanye utafiti kuna wanafunzi wengi wenye div 3 ambao kwa miaka ya nyuma ila wapate mkopo inabidi wachague UALIMU AMA KWENDA KUSOMEA...
Hii serikal yetu inajikanganya yenyewe,leo naibu wazir wa elimu kwenye kipindi cha MIAKA 50 YA UHURU NA MAENDELEO KTK ELIMU chanel 10 amesema kigezo muhimu cha kupata mkopo kwa wanafunzi wa elimu...
Hivi karibuni nimepata taarifa kutoka kituo kimoja cha watoto yatima Magu. Wamekuwa wakiwapeleka watoto wao kusoma Uingereza kwa miaka mitatu sasa, lakini ili waweze kwenda UK wanahitaji barua...
Imeripotiwa kuwa mwanafunzi wa kike kutoka shule ya KIBAKWE wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma ameshindwa kufanya mtihani wa VII. Hii ni kutokana na kupewa ujauzito na mwalimu wake mkuu. Mara baada...
Nawaombeni mnisaidie, nataka kujua mitihani ya TAHOSA (Tz head of school ass.) inalipiwa shilingi ngapi? Je, kuna tofauti yeyote ya malipo hayo kati ya shule na shule?
wakuu mimi nilikua nauliza ivi mtu anayesomea degree ya insurance and risk management au mtu anayesomea procurement and logistic management ni yup anaeweza kupata ajira/kazi itakayo m-boost ili...
Habari zenu wakuu,
Siku ya Ijumaa ya tarehe 2/9/2011 TCU kwa kushirikiana na HESLB walitoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kiwango cha mikopo...
Nimesikitishwa na kitendo cha waandishi wa habari kuingia na video camera kwenye chumba cha mtihani na kuwapiga picha wanafunzi wakati wakifanya mtihani.
Kitendo hiki kinaweza kuwaathiri...
Sijui watawala watatuambia nini kwa hili yaani mwanafunzi wa darasa la 7 anafanya mitihani huku akiwa ameketi chini!! dah hii inasikitisha na hii imetokea kwenye roho ya Tanzania ni jiji la Dar es...
mzee wa shamba ni kitabu cha riwaya kali sana ya kusimumua. Kutoka kwa mwandishi juma kidogo sasa kinapatikana mitaani kwa sh 3000 tu. Kwa wale ambao bahati mbaya kitabu hiki hakijawafikia huko...
Salaam wakuuu,
kitendo cha serikali ya jamhuri ya muungano wa TANZANIA, kupitia waziri mwenye dhamana yani mheshimiwa KAWAMBWA, Kuwatelekeza idadi kubwa ya wadogozetu kwa kutowadhamini mikopo ili...
Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika toka loans board,ni kwamba,kutokana na malalamiko meng juu jins mikopo ilvotolewa,zoezi la kuwachambua wale wote wenye dv 1 nd 2 afu wamekosa mkopo litarudiwa na...
please, yeyote mwenye prospectus ya ardhi university naomba aniwekee hapa niweze kui-download, coz website ya ardhi ina kama week hivi inanigomea kufunguka..
natanguliza shukrani..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.