Wanajf mnakumbuka mwaka jana walimu wenye stashahada walichelewa kuajiliwa mpaka 24 jan.mwaka huu.Kutokana na hali inayojionesha kwa sasa kwa wale wa tcu na mikopo, nahisi mambo ya ajira kwa...
Jamani hii bodi ya mikopo inafanya vitu ambavyo havieleweki, tumetoka bodi ya mikopo wametujibu vibaya sana, nitawajuza zaidi watakavyotujibu huku wizarani.
Mimi ni tha one nilie kosa MKOPO mwaka huu.but wazaz wameamua kunilipia but wanauwezo wakulipa ADA only.mambo mengine amesema hawawez.je kip mhimu ambacho inatakiwa nikalipe ili...
It is despicable! We are back to square one. During Nyerere's time our politicians belittled the value of education. We changed phrases from "Kufaulu" to "Kuchaguliwa" to try to belittle...
Ndugu wan JF,
Natafuta kitabu cha Hekaya za Abunuwasi; yeyote aliyenacho naomba anijuzu ili nifanye malipo yake. Au kwa msaada unaweza kutia hapa JF kwa pdf.
Natanguliza shukrani za dhati
Mim naona wanafunzi waliokosa mkopo hawajatendewa haki kwan pesa wanazopewa wanafunz watarudisha mbona mabilion mengine yanapotea bure kwa kumnufaisha mtu mmoja au wawil tu,je tanzania...
Sakata lililotikisa sekta ya elimu mkoani kagera mwanzoni mwa mwaka huu limechukua sura nyingine baada ya wafanyakazi 9 kufukuzwa shule. Watu hao wanatuhumiwa kwa ufisadi na kuficha madhambi ya...
Je? Unahitaji shule yako kufahamika kitaifa na kimataifa. Tembelea schoolbook, inayo jibu. ni rahisi kutumia na bure kabisa. Tembelea Schoolbook Classic | Homepage
Hii ndio takwimu iliyopo. Wanafunzi 23,340 sawa na
asilimia 70 ya watakaojiunga na
vyuo vikuu nchini kwa mwaka
wa masomo wa 2011/12
watapata mikopo kutoka Bodi ya
Mikopo kwa Wanafunzi wa...
Kuna best wangu amepangwa chuo cha Tumaini Iringa na TCU.. Ila yupo maeneo ambayo yapo mbali na huduma za kijamii, ningependa anayejua tarehe ya kufungua ni ipi naomba aniambie ili niweze...
Waungwana,my young sister kachaguliwa coz inaitwa bachelor in economics and finance kwenye chuo IAA,nimejaribu kuulzia kwa wa2 wanasema hyo coz hapa tanzania ni mpya.kuna yeyote anae weza niambia...
Kuna tetesi nimezipata jana hapa mkoani Iringa kutoka kwa wadau wa jirani kabisa wa chuo kikuu cha Ruaha kilichopo mkoani Iringa ambacho ni branch ya SAUT. Inasemekana kua katika mwaka ujao wa...
Ngugu wanajamii forum naomba kuuliza kama kunamtu amechaguliwa muhimbili kusomea doctor of medicine na cbg, nauliza kwasababu niliomba kama first choice hawaja nichagua bali wamenipangia nursing...
plz naomba kufahamu,ili mtu awe lecturer ktk university/any other educational institution;
1.first degree yake anatakiwa awe na GPA gani?
2.masters awe na GPA gan?
-accoding to TCU criteria...
Habari zenu wana jf, ningependa kujua kutoka kwa mtu yeyote ambaye ni mfanyakaz wa heslb , ni vigezo vp walivyovi2mia kutoa mikopo, coz naona wadogo zetu wengi wa science especially udaktari, na...
Wakuu habari zenyu?
Mimi ni miongoni mwa wale applicants wa 2nd round,nimejaribu kucheki kwenye orodha A na B za matokeo waliyotoa bila kuliona jina langu na si mimi tu kwani kuna washkaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.