Ikiwa imebaki siku moja au moja na nusu kwa std 7 kufanya mitihani yao ya kumaliza elimu ya msingi.tumezoea kuona wanafunzi wakifaulu kwa wingi kwenda sec za kata pamoja na wadau mbalimbali...
bodi ndo vile loan imenitosa bt chuo nimepangiwa Tumaini University Iringa nilikua naomba msaada maana mpaka sasa nikienda ktk post box sioni admission latter hvyo ni mimi tu au pia vipo vyuo...
Tumsifu yesu Kristo,
Ninapenda kutoa taarifa ya hali halisi ya Chuo Kikuu cha Bugando.
Mwezi wa saba wanafunzi wa Udaktari wa mwaka wa tatu waliandika barua kwa mkuu wa kitivo cha udaktari...
TAFUTA SHULE BORA KWA AJIRI YA MWANAO
Tembelea Schoolbook Classic | Homepage or pofya hapa
Wakati wazazi wengi wanapoingiwa na wasiwasi ni vipi watoto wao watapata elimu bora ya kukidhi maisha...
Habari!, leo napenda niwashirikishe kitu kuhusu schoolbook, unaweza kuitembelea na usijue inavyofanya kazi. lakini sasa tumekuletea video tutorials
yaani semina kwa video. under schoolbook utility...
Unaweza sasa kuzijua shule nyingi zaidi na wasifu wake kupitia wavuti inayoitwa Schoolbook Classic, ambayo imejitolea kukusanya wasifu wa shule zote dunia na kukupa wewe mtanzania na raia wengine...
Mimi nimepangiwa chuo cha UDOM koz ya nursing ila mkopo hawajanipa na home hawawezi nilipia na vigezo vya mkopo ninavyo nifanyeje,nimekaa home since 2009 kw issue kama hiz?
Mimi ni kijana niliyekosa MKOPO mwaka huu.but CHUO Nimepata ARDHI(B of arts in economics)TATIZO KUBWA NI FEDHA.naombeni MSAADA WENU nifanyaje ili nipate SPONSOR yeyote atakae nisaidie ili...
Jamani wana JF, nauliza kama mtu akawa ameandika education materials, mfano kitabu cha mathematics for secondary schools. Procedure zikoje ili kiweze kuwa published at the moment one does not have...
Wadau naombeni mawazo yenu kuhusiana na hii course ya Actuarial science. Ni course iliyoanza kufundishwa mwaka jana hapo Udsm, na je, soko lake la ajira liko vipi?
Jamani kama inavyofahamika kwamba waalimu wakiume wa sekondari huwa wanauhusiano wa kimapenzi na wanafunzi wao!,UNAFIKIRI NINI USHAURI WAKO KWA WALIMU HAWA NA WALE WATARAJIWA? Maana mi mwenyewe...
kutengeneza tovuti (websites) siyo jambo gumu tena. ikiwa unahitaji kutengeneza tovuti yako binafsi au kuwatengenezea wengine usiwe na presha tena. utahitaji mwezi mmoja tu wa kujifunza nami...
Tafadhali naomba mwenye kujua anisaidie hivi walimu wapya ‘III A' wamekwisha pangiwa vituo vya ajira?Naona kwenye website ya wizara ya elimu hakuna
nitashukuru
Hakika wengi 2lichangia na kufurahia kauli mbiu ya kufanya ELIMU KUWA UWEZO NA SI CHETI,sasa kwanini wengi mnalaumu waliopata dvs3 kupata mkopo na wale wa divs 1 kukosa,TUTAFuTE NJIA YA KUTATUA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.