Inasikitisha kuona hapa tz mwanafunzi ananyimwa mkopo wakati serikali hiyohiyo inamgharamia mwanafunzi mmoja TSh 20,525,000/= kwa mwaka hapo nchini msumbiji. Kwa habari za kuaminika nilizozipata...
Wadau naomba kuuliza kama nchini china kuna vyuo vikuu vinavyofundisha degree ya kwanza kwa miaka mitatu na inatambulika? Nauliza kwasababu nimeona vyuo vikuu karibu vyote vya china vinatoa...
Ninaangalia kipindi cha TBC, kushuka kwa kiwango cha ufaulu tatizo ni nini? wapo Singida huko sijui ni Wilaya gani katika shule za sekondari Changa na Koro, shule ina wanafunzi watatu wa kidato...
Wadau nataka kwenda kusoma nchini china, bachelor of business administration (bba) kwa miaka mitatu kwenye chuo kikuu kinachofundisha program zake kwa kiingereza.
Naomba kuuliza kama kuna vyuo...
Si kipindi kirefu toka TCU na HESLB kutoa taarifa zao kuhusu MKOPO waliotoa kwa baadhi ya wanafunzi kutokana na vigezo vyao ambavyo vinatutia mashaka sisi tulio kosa na jamii kiujumla.kuna makundi...
Maelezo yapo hapa chini naomba msome usome asante.
News Information on the 2nd round of applications
Tanzania Commission for Universities (TCU) wishes to...
tukiwa kama chama cha Haki za binadamu tumeungana na LHRC kufuatilia hali tete ya wanafunzi asilimia 30.7 kukosa mikopo↲
Pamoja tunaweza toeni mawazo
kuna mazingra ya rushwa kati ya heslb, tcu dhidi ya vyuo visivyo na umaarufu, ambavyo kwa mfumo huu wa tcu ni vigumu kupata wanafunz hapo ndipo dili zinachezwa, ndio maana m2 ana E E F kapewa chuo...
Wadau mimi ni mmojawapo kati ya wale tuliokua wizara ya elimu kulalamika kuhusu kunyimwa mkopo na heslb. Kwa taarifa mpaka tulivyoondoka pale wizarani saa 12 jioni, bodi ya mikopo ilikiri kua kuna...
Kuna dogo hapa kachaguliwa to parsue BACHELOR OF SCIENCE IN ENVIRONMENTAL ENGENEERING at ARDHI UNIVERSITY.
So shida yangu,nataka kujua 1. hii coz inahusika na nini hasa ,2.mtu aliye graduate coz...
Na Maggid Mjengwa,
TUMESOMA , kuwa wanafunzi wapatao elfu 14,000 wenye sifa za kujiunga na masomo ya elimu ya juu wamekosa sifa za kupata mikopo kutoka bodi hiyo.
Hii ni taarifa ya...
wadau naombeni mnisaidie kujua kama ile tabia ya wakuu wa wilwya ya kuchapa walimu viboko itaendelea ili nijiandae kwa kuvaa nguo ngumu ikiwezekana ngozi kabisa. lakini pia je kitendo cha kuchapa...
Wana JF. Nina kijana ambaye alipata division two katika mtihani wa form six na amechaguliwa kusoma uchumi ARDHI university.
Cha kushanganza kijana huyu kakosa mkopo kwa comment ya "NOT A...
Katibu mkuu wa wizara ya Elimu amewaagiza bodi ya mikopo kupitia upya wale waliokosa mkopo na walopata mkopo ila haki itendeke kwa kila mmojawajo.
My take:
Wanafunzi zaidi ya 800 inasemekana...
Habari zenu wana~jamvi,kuna dogo hapa kachaguliwa kusoma UDSM,B.A.in Statistics mkopo kapewa 2.83Milioni,sasa naomba anayejua kuhusu haya yafuatayo anijuze ili nijue jinsi ya kumsaidia.1)Siku za...
Wakuu,wale wote mlokua na mikopo ktk yale majina ya mwanzo bac frm nw jìhesabuni hamna mkopo,zoezi linarudiwa upya.source,mtu wa karibu na bodi ya mikopo.
Heshima mbele.
natumia nafasi hii kuwaasa serikali waachane na siasa kwenye maswala ya elimu.mitihani ya darasa la 7 imekuwa rahisi sana kiasi kwamba hata mtoto wa darasa la 5 akiifanya anaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.