SCHOLARSHIP OPPORTUNITIES UGHAIBUNI
Habari zenu ndugu wadau
Ni matumaini yangu mu wazima wa afya na familia zenu. Nina tangazo la kuwasaidia watu kuhusu mambo ya elimu ya juu na udhamini wa...
Habari zenu JF!naomba kuuliza jamani,mwenye ufahamu kuhusu application za diploma ktk fani za afya kupitia wizara ya afya zinatoka lini na je kama mtu atachaguliwa kusomea clinical officer(tabibu)...
Habari zenu JF!naomba kuuliza jamani,mwenye ufahamu kuhusu application za diploma ktk fani za afya kupitia wizara ya afya zinatoka lini na je kama mtu atachaguliwa kusomea clinical officer(tabibu)...
Malalamiko kutoka kwa Wanafunzi Urusi
Tafadhali tunaomba utusaidie kutufukishia ujumbe wetu kwa Serikali .Sisi wanafunzi tunaosoma ,Urusi tumekuwa tunaonewa sana na Bodi ya Mikopo.Kwa...
Habari zenu wadau? Nimepoteza cheti cha kuzaliwa ambacho nilikipata huko Mbeya. Kwa sasa nipo DSM, Naomba yeyote anayejua utaratibu wa kupata kingine anijulishe.
Wadau vijana mtaani wamechoka kuingia internet na kila siku wanakosa taarifa sahii za tcu,hebu wenye tarifa semeni kuna nini tcu kiasi kwamba leo hii zimebaki takribani siku 30 tyu vyuuo...
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Tiba kishiriki cha Tumaini (KCMC) wamekuwa katika kipindi kigumu cha masomo yao, hasa wakati huu wanapokaribia kufanya mitihani kutokana na kushindwa kumaliza kiasi...
Habari zenu mabibi na mabwana,ninamdogo wangu wa kike kahitimu form four ana Div four ya point 27 namtafutia nafasi ya kusoma (Chuo) hasa hasa Nursing,Kilimo or Teaching vyenye ada dogo kuanzia...
ili kuboresha kiwango cha elimuhapa nchini nashauri serikali kuanza mpango maalumu wa kufanya baathi ya shule za kata kua za kiwilaya, kimkoa na kitaifa kila mwaka.Mpango huu utakua na faida...
Katika kikao cha Bunge kinachoendelea Dodoma kuna Mbunge mmoja alizungumzia tetesi kuwa Serikali imeamua kuanzia mwaka huu (2011) mtihani wa Hisabati wa Darasa la Saba utakuwa wa Multiple choice...
Wanachama wa CCM vyuo vikuu, msingepata elimu hiyo mgekuwa watu wa namna gani ? Pamoja na kuwa na elimu ya chuo kikuu bado mnashabikia mafisadi ndani nchi hii.
Uwepo wenu hapa Tz hauna mantiki...
Ni jambo la kusikitisha sana kuona somo la Jiografia linazidi kufanya vibaya pamoja na umuhimu wake. Kuna mambo mengi yanayochangia kufanya vibaya kwa somo hili na wadau wamekaa kimya katika taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.