wana jf naombeni mwongozo kupitia hii link http;//pdfadvisor.com/pdf/selection-of-undergraduate-university-students-2011-2012-in-tanzania.html<br /><br />
Nawasilisha
Tulipata taarifa kuwa mlitimuliwa chuoni mlipojaribu kudai haki zenu ambazo ni za muhimu kwa msomi yeyote,ila mlikuwa hamjafanya mitihani,vip mtafanya lini? Au ndo maswala ya kuunganisha semsta?
Jamani wadau naomba msaada hapa Loan Board tangazo lao waliandika kuwa watatoa mikopo hata kwa wanafunzi wa nje ya nchi ili mradi uwe na offer letter leo nimeenda kufuatilia wale mareceptonist wao...
Watoto wa wakulima Tanzania wamekua wakighilibiwa haki zao za msingi katika chuo kikuu maarufu nchini cha SUA. Moja ya haki hizo ni AFYA.Wanafunzi hua wanalipishwa shiling laki moja kwa ajil ya...
Inasemekana kesho TCU watatoa tamko la kuomba radhi kwa ucheleweshwaji tena wa matokeo!..mpaka sasa haijajulikana rasmi ni lini watakamilisha matokea yote!
;.....source;leaked gov.info
Habari zenu wakuu?
Naombeni msaada wenu mnijulishe na/ au kunipatia contacts za vyuo vinavyotoa elimu ya certificates katika masuala ya madawa ya binadamu.
Kuna kijana anatafuta ili akasome aweze...
kwanza naomba mniwie radhi, sikupenda kuandika hili ila imenilazimu! Kuna mwana jf mmoja kaweka link ya selection za tcu za mwaka jana anadai za mwaka huu! Huu ni ujinga kabisa kama huna cha...
wapendwa, mungu awape life zaidi. Jamani mm nataka kuanzisha NGO yangu, dhidi ya haki za wanyama(animal welfare) baada ya kumaliza utafiti wangu. Nimeisha andika proposal na contact za funders...
Kuna taarifa nimepata, kwamba TCU wamekaa na wawakilishi wa vyuo mbalimbali, hivyo wamekubaliana majibu kutoa wiki ijayo, sababu za kufanya hivyo bado hazijatambulika. So ndugu vijana endeleeni...
wadau tufahamishane kwa lugha yetu(kiswahili) ingawa swali limeulizwa kwa kingereza.nauliza swali hilo kwa kuwa sasa hivi inayobamba ktk media za kimataifa ni hacker hacker hacker .Tuelimishanae...
Serikali yetu inajitahidi kuboresha elimu lakini bado haijaweza kumudu mahitaji ya watanzania ambao wanahitaji kusoma hivyo haina budi kuweka mipango ya baadae ya kimaendeleo kabla mambo hajakuwa...
The human body is capable of many strange and incredible things. The infographic below, which comes courtesy of OnlineNursingSchools.com, shows just how weird -- and ridiculously awesome -- the...
Swali hili lina lengo la kujenga hoja fulani ambayo nataka izame kwa baadhi ya watu. Sina mashaka na uwezo au elimu ya Prof. Mikidadi kwani ni mwanazuoni aliyebobea katika fani zake na ni miongoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.