Wadau sio wanafuzi wengi wana access na Internet na baadhi yao hasa wa sekondary hawana taarifa uwa internet inaweza kuwa chanzo cha elimu .
Unakuta mwanafuzi ana strugle na physics au hesabu...
hi to everyone!
Jamani ivi wapi ntapata chuo kizuri kwa kujifunza driving here in DAR.
na pamoja na kupata driving license class E or D,it will cost how much and it will take how long.
thnx.
Science Says He's A Relative. God Says He's Not!
The Truth About Evolution
Or; Don't Let Satan Make A Monkey Out of You!
Proof That Evolution is a Hoax!
Jamani nahitaji kufanya mtihani wa kidato cha sita mwakani mwezi wa pili.Je bado sijachelewa?Hakuna namna ninayoweza kutumia ili niweze kufanya mtihani mwakani,?Nilikwama kupata fedha ya malipo ya...
Habari wana JF?
Kuna hii course ilikuwa inaitwa General Certificate in Engineering (GCE), ilikuwa inatolewa DIT!!! Ilikuwa sifa za kuiingia hii course ni kwa yeyote aliyemaliza darasa la saba...
Habari wana JF naomba mtu yeyote anayejua jinsi ya kujiunga na actuarial society ya Uingereza anijuvye pia aniambie ada huwa ni pound ngapi? Pia na web ambayo itanisaidia kupata notisi nzuri kwa...
Jamani mi nina maswali matatu tu;Hivi mtu aliyemea statistics mfano B.A in Statistics anaweza kufanya kazi zipi? Swali la 2;Kipi ni bora aidha kusoma B.A in Statistics au B.A in Statistics and...
The Dekeyser & Friends Foundation invites applications by young people from different countries, cultures and social strata to attend the Engage in Conservation Project. The project will be...
Serikal kufukuza wanafunzi Udom ni suluhisho la kumaliza migomo? Chakusikitisha wazir waelimu alitangaza wanapewa field, kesho yake wakafukuzwa, Huu ni usanii ndani ya elimu au ni nini?.
Tuliopita Lugalo Sec School Iringa Tujikumbushe hapa
Hapa ndipo tulipokua tunaimba ule wimbo wa shule na mwishoni tunamalizia "Hakuna haki bila wajibu". Shule hii ilikua na Wing A na B. Wanafunzi...
Siku zinapita na miaka inaenda,iwapo kuna member toka Shinyanga Commercial Institute humu ndani 2kumbukane jamani. safari za 'USHI',mambo ya 'mlingoti'.... Nasikia imekuwa ni chuo cha ualimu...
Ni kweli chanzo cha kushuka kwa elimu ni lugha kwasababu lugha inayotumika kufundishia mashuleni ni lugha ngeni.Inatakiwa kiswahili kipewe kipaumbele zaidi kuliko linavyofanywa kama somo shuleni.
Picha ya Mwanafunzi
HATI YA KIAPO YA MWANAFUNZI
Mimi, .,Muislamu/Mkristo/Mpagani, nikiwa na akili zangu timamu na bila kushurutishwa, NAAPA NA KUTHIBITISHA kwamba;
1. Mimi ni...
Wakuu naomba mwenye information juu ya ongezeko ya pesa za bodi.napenda kufahamu iwapo ongezeko hili ni kwa ajili ya wanafunzi wa ndani ya nchi pekee au linaafect hata wale walio nje ya...
HABARI WANDUGU.
Katika kusaka masomo ya masters, naona OUT imetulia, masters-MBA inaprogramme nzuri-marketable na wanatoa through 3 options; distance learning, evening mode-dsm only na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.