Leo limetoka tangazo la kuwataka kurudi chuoni wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma(UDOM) college of Informatics and Vitual Education.
Chuo hiki kilifungwa tar 28.04.2011 baada ya maandamano ya siku...
Ni mara nyingine tena wanafunzi wa SUA tukiwa tunaanza tena mitihani ya mwisho wa mwaka mimi kama mmojawapo nawatakia mtihani mwema na pia Mungu aweze kutujalia afya njema katika hiki kipindi...
Graduate yupi bora kati ya huyu wa Mzumbe alienda field miezi 3,na huyu wa UDSM alienda field mwezi 1 na nusu,.,naomba msinishambulie mimi bali mshambulie thread,nawasilisha.
Kuna mtafaruku mkubwa ndani ya Chuo cha elimu ya biashara kampasi ya Dodoma.
Mwaka 2009 kuna baadhi ya wanafunz waliokuwa mwaka wa pili (Advanced diploma) ktk matokeo yao ya semister ya nne...
Makerere University is tenth
best in Africa - In2EastAfrica
3 Feb 2011 The top nine
universities are in south Africa,
with the University of Cape
Town at number one.
in2eastafrica.net >...
As great thinkers naomba tujadili ubora wa hiki chombo katika utekelezaji wake
@kutoa taarifa kwa wadau kuhusu maombi na ugawaji wa mikopo
@timeliness katika kutoa mikopo wakati inapotakiwa...
HI ndugu zangu wa jamiiforum,
kwanza kabisa namshukuru mwenyezi mungu kwa kunikutanisha nanyi kwani inaaminika kuwa jamiiforum ni mtandao uliojaa wasomi na watu wenye upeo mkubwa wa kufikili, kwa...
Heshima kwenu wakuu, tafAdhali naomba kujua the best tanzanian boys secondaryschool.yaani best kwa academic,morals na iwe religious (christian).natanguliza shukrani
Wadau, habari zenu.
Jamani kati ya hizo hapo option za MBA, ipi ipo hot mtu akiamua kuopt? Natakiwa kuchagua among those option.
Sina Background ya chochote kati ya hicho, ila nafanya MBA, na...
wanafunzi wa elimu ya juu walitoa madai ya msingi ya kuongezwa kwa hela ya chakula na malazi (boom) kutoka sh5000 mpaka sh 10000. serikali imetoa sh 7500 hela hii bado haitoshi ukizingatia...
Wandugu kuna habari ambazo s njema kwa waliojiandikisha kufanya mitihan ya board ya ugavi NBMM!ni hivi:mwanafunzi haruhusiw kufanya mitihani zaidi ya minne kwa wakati mmoja!hii ina maana kwamba...
Wanawake walio wengi nchini hali yao kiuchumi ni mbaya ukilinganisha na mchango wao katika jamii, hali hii imechangia wanawake wachache kufikia nafasi za juu kabisa katika taaluma,siasa, na...
Hi,Wadau naomba mnisaidie. Natafuta scholarship kwa ajili ya masters ili kusoma hapa nyumbani kwa mwaka huu 2011/2012. Kila mwaka Utumishi huwa wanatoa Belgium scholarship kwa wanafunzi wa...
Wanafunzi wengi wanafuja posho wanazolipwa
Imeandikwa na Mwalimu Stanislaus Kigosi; Tarehe: 14th July 2011 @ 23:20 Imesomwa na watu: 136; Jumla ya maoni: 0...
Nitashukuru sana kama mtaitembelea hiyo tovuti (Philip Emeagwali - A Father of the Internet - Pioneer of the Supercomputer - Biography) kila wakati na pia naomba muisambaze kwa vijana wetu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.