Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

habari za saa hizi wanajamvi.. naomba kuuliza kwa wanafahamu au wenye uelewa wa gharama za kuandika hii proposal ya watoto wa mtaani (waishio mazingira magumu) ni kiasi gani? Natanguliza shukrani..
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ugandan women tricked into domestic slavery in Iraq By Anna Cavell Kampala The BBC has the first detailed accounts of how Ugandan women ended up in domestic slavery in Iraq, and the extraordinary...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau naomba kufahamishwa ni lini bajeti ya wizara ya elimu itasomwa,make wanachuo tunasubiria kwa hamu sana kujua wameongeza sh.Ngapi kwnye meals and accomodation!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
akuna serikali isiyo na matatizo na pengine kwa afrika mashariki tanzania inaongoza kila sekta kwa upande wa elimu bomu kubwa limeangukiwa wizara hii pale walipopewa bomu lililoishinda wizara ya...
0 Reactions
96 Replies
12K Views
Leo asubuhi kama saa moja kasoro dakika kama kumi hivi, nilitaka sana kujua kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo! bahati mbaya nika-tune TBC-1 (nimeandika: "kwa bahati mbaya" maana sina mazoea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada wa kupata document ya mfano wa jinsi ya kuandika project proposal ya kuomba fund kwa donors.
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Wana JF naomba taarifa kuhusu hizo scholarship kama ni mpaka utoe hela ? Kwanza , Nilifanya usaili hatua ya kwanza na ya pili , lakini nakumbuka kuwa mtu aliyeshinda ni mtu ambaye aliniambia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hey guys,let me know the profile of Maige Cosmas Chagu.
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Hey guys,let me know the profile of Maige Cosmas Chagu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naomba tusiwe na id nyingi kwa sababu tunaharibu hali halisis hapa ndani, mods juz tumeongea kuhusu microsoft kununua baadhi ya web;socializing sehemu mbalimbali member wenu wakiwa na id nyingi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
To: Suspended Undergraduate Students, College of Humanities and Social Sciences, and School of Natural Science and Mathematics, The University of Dodoma RE: NOTICE OF INTENTION FOR INSTITUTING...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
wakuu heshima mbele!mm niliandika dissertation yangu!superviser kanitaka ni analyse data kwa kutumia higher order statistic methods!ni zipi hizo anazotaka?najua Jf ni kiboko yao!ntapata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari gani bhanaaa.. Natumai mu wazima wa afya.. Ninaomba ushauri wenu wa jambo gani natakiwa nifanye wakati nasubiria kwenda chuo.. Kwa sasa ninamalizia ka-contract kangu hapa jijini mwisho wa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Naomba msaada wakupata notes za kufundishia speaking English for level 1,2,3 and 4 kupitia website ili niweze kudaownload na kuprint. THANKS
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jumatatu asubuhi. Saa kumi na mbili kasoro nipo kituoni Mbagala kuu... Kinachonishangaza ni wingi wa wanafunzi waliopo hapo wakingojea magari kwenda mashuleni. Ni wengi sana kwa kweli..wangetosha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, nimekuwa nilkisikia wanafunzi wa sheria wa Tanzania Law School wakisema wana ratiba tight kuanzia asubuhi hadi mchana. Kwa upande wangu, naona utaratibu huu unawanyima nafasi ya...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Bunge liliwapongeza wanafunzi waliofanya vizuri mitihani ya kidato cha sita kwa maana ya kuonesha ubora wa shule za kata. Mimi nina jiuliza kwanini hawakutafuta wanafunzi waliomaliza kidato cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari? Nahtaji kufikisha ujumbe wangu kwa waziri wa elimu ya juu.. Je nifanyaje?? Na, hakuna uchakachuaji wowote wa ujumbe unapokua unasafiri kwenda kwake?? Maana wasiwasi wangu huenda ujumbe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna Dada anaitwa Rozemary Mwakitwange anauzoefu wa miaka ishirini kama meneja uajiri [Human Resource Manager] anasema vijana wa Tanzania hawauziki, kwenye sekta binafsi kwa kuwa hawana content...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamani ninatafuta shule inayofundisha Kijerumani ama Kifaransa kwa ajili ya mtoto wangu. Shule nyingi za Academy ni Kiingereza na Kiswahili. Nimeambiwa kuna shule za mikondo ya lugha hizo Kenya...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Back
Top Bottom