Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wakuu wana Jf, Naomba kufahamishwa Ofisi za TCU zilipo hapa jijini DSM, I mean ni mitaa ipi/ maeneo gani. Je nikitokea Ubungo nipande dala dala za wapi na nishukie kituo gani? Natanguliza...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Wadau naomba kuuliza hapo zamani nilisikia kulikuwa na elimu iliyokuwa inatolewa na vyuo vya ufundi vya serekali yaani Dar Tech,Arusha Tech na Mbeya Tech.Ila kwa sasa siisikii tena na katika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni kweli kwasababu utakuta mtoto anakaa tabata na shule anasomea posta kwa umbali anaoutumia kwa kwenda shule na kurudi nyumbani anachoka anakosa ata mda wa kujisomea na ndio kinachosababisha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Msaada tafadhari - nina swali la ''kizushi'' Hivi unapoambiwa kuandika document huku wakiwa wamerestrict idadi ya maneno, let say less than 500, nini hasa kinatakiwa? Ni rahisi kuhesabu maneno...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Jamani naombeni mnijuze kuhusu course hii ya development study, je inaajira za kutosha tanzania? Na kazi zake ni za aina gani? Na mdogo angu anataka akachukue BADS chuo october.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WANAFUNZI WA KITANZANIA - CHUO KIKUU CHA URAFIKI LUMUMBA, MOSCOW-URUSI. Mhe. Waziri Mkuu Peter Mizengo Pinda, Tunaomba kuanza kwa kukupa pole kwa majukumu mazito uliyo nayo katika ujenzi wa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Muda huu kuna kundi kubwa kiasi la wanafunzi UDSM linapiga tarumbeta kusherehekea mwisho wa mitihani na masomo yao baada ya miaka mitatu au minne ya chuoni kutegemeana na programu aliyosoma...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Pamoja na uduni wake(IFM) katika suala la management, kuna suala moja linanikera zaidi! Na hili ni kuhusu ma-lecturer wa hapa IFM,yaan wamekuwa mabingwa wa ngono! Wanawarubuni dada zetu kwa madai...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Hivi kuna umuhimu wowote wa kuanzisha tution kwa shule za nasary schoolor ndo development
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nataka kupata cods za education sites ili niweze kusoma vitabu free on internet but i cant get them by googlig, kwa iyo kama mtu yoyote anaweza akansaidia then naomba aniambie.. iwe ni site ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu wana-JF Naomba msaada wenu ili kukamilisha utafiti wangu. Natafuta majina ya kiswahili yanayofanana na machache niliyoorodhesha hapa. Naomba nisisitize kuwa huu ni utafiti tu, sikusudii...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
This year, the Rotary Club of Arusha, Golden Sunrise in collaboration with Chapter: 1535 -McIntosh Trail Georgia are organizing an event called the Chalk Walk event to honor great teachers of...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani mmechelewa kutoa selection ya Masters sept. 2011/12 mnataka kushtukiza nini? mbona tayari budget ya elimu tayari imeishasomwa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari za asubuhi wanajanvi? natumaini hamjambo na mnaendelea na kulisukuma gururdumu la maendeleo.....Jamani naomba kujulishwa ni lini selection ya open University of tanzania kwa Masters...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
WADAU HII NILIIPATA KWENYE FACEBOOK, ILIANDIKWA NA MDAU ANAITWA ALEX MUSHI ''JAMANI HAKUNA SIKU NIMEUMIA KAMA LEO. Uwezi amini mdogo wetu wa mwaka wa kwanza, GETRUDE NDIBALEMA alivyochanganywa...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Katika vile vikao vyetu vya jion baada ya kazi, tulikua tumekutana na jamaa kibao kutoka sehem mbalimbali za kazi. Katika mazungumzo kuna mtu mmoja alifanya mambo ya kitoto sana ndo jamaa mmoja...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Mi ni mwalimu wa somo la Historia kwa shule za secondary,nina nia ya kusaidia jamii kwa kutoa resources na ushauri ktk somo hili,na kwa bahati mzuri nikiwa katika harakati za kutafuta ni wapi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Vita vya ujinga: Dhana iliopotoshwa VITA VYA UJINGA: DHANA ILIYOPOTOSHWAKwa muda mrefu hapa nchini nasehemu zingine za Afrika kumekua na dhana ya vita vya kupamba na ‘Ujinga’. Nimeshawishika sana...
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Shukuru kawambwa yuko hewani, anawasilisha bajeti ya elimu, habari njema kwa wanavyuo, posho imeongezwa toka elfu tano hadi elfu saba mia tano!. Migomo itakwisha vyuoni?
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hatimaye wizara imeongeza posho ya wanafunzi wa elimu ya juu kutoka sh.5000 hadi 7500. Source:bungeni-dodoma,leo.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom