Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Naomba kabisa kwa upendo wa Mungu i na kwa imani uniwekee hapa SALA YA KUKEMEA MAPEPO (MAJINI MAHABA) nimegundua ninasumbuliwa sana na haya mapepo, Itakuwa vema nawe unapokuwa kwenye maombi yako...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
From MARC NKWAME in Arusha, 31st July 2011 @ 12:05, Total Comments: 2, Hits: 428 UNIVERSITY lecturers have been warned against intimidating their students into believing that the subjects they...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
naomba tujadiliane ni kwanini sehemu kubwa ya nchi yetu vijana hawapendi somo la hesabu wakati tunajua fika ni kiunganishi cha masomo ya sayansi kama biology,chemistry na physics haya ndio masomo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza kuwapongeza HESLB kwa kutuingizia hela ya field hata wale ambao hawakuwa na field! Nasema hivyo kwa sababu first year wanaofanya kozi nyingine tofauti na Education imekuwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naamini iko siku hizi taasisi zitaanzishwa hapa nchini na Afrika kwa ujumla.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Chuo kiitwacho MODERN COMMERCIAL INSTITUTE kipo mtaa wa nkruma clock tower kinajitangaza kwamba kimesajiliwa na NACTE kutoa mafunzo kwa ngazi ya Diploma kwenye tovuti yao nikiperuzi kwenye mtandao...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Some lecturers of higher learning institutions simply make sure their students fail in exams. The habit is common at the University of Dar es Salaam (UDSM) where some dons want their students...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello wana JF wote! Leo nina swali moja ambalo ningependa tubadilishane mawazo pamoja na tafiti zilizopo juu ya uwezo wa Brain ku multtask. CAN THE BRAIN MULTTASK?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani eee,wana-jm nasaka watu wote waliosoma shule ya msingi Utemini iliyopo mjini Singida. Walioanza mwaka 1994 na kuhitimu 2000.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanafunzi watasoma lini kama shughuli wawapo shuleni ni kwenda kuokota kuni kwa ajili ya walimu wao. Hapo pichani ni wanafunzi wa darasa la saba wa shule ya Msingi Manda, Mkoa mpya wa Njombe
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani wadau naomba anaye fahamu website zinazojihusisha na utoaje wa scholarship za kusoma masters nje anianikie hapa jamvini.......!
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Ni chuo gani hapa tanzania cha private cha ualimu level ya diploma ,nataka nimsaidie kijana yatima akasome ? Nisaidie nimsaidie plzz cha ada ya kawaida
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Tafadhali wana JF naomba kwa yeyote mwenye taarifa za mbunge wa jimbo la Kilombero.Sababu sijapata kusikia akichangia hoja yoyote kutoka kwake.Au labda yuko nje ya nchi masomoni.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
naomba musaada wenu bandugu natuta chuo kizuri apa nchini chenye garama nafu.<br><br>natanguliza shukurani zangu,
0 Reactions
1 Replies
860 Views
naomba musaada wenu bandugu natuta chuo kizuri apa nchini chenye garama nafu. natanguliza shukurani zangu,
0 Reactions
0 Replies
843 Views
Wana JF wenzangu naomba mchango wenu wa mawazo na msaada kwa manufaa ya wengi wenye mpango wa kujiendeleza kielimu, naomba kwa mwenye kufahamu namna mtu anaweza kuomba scholarship na kupata...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Who is fider husssein in tanzania? What kind of agro-products does he deal with?
0 Reactions
1 Replies
870 Views
Ninavyo itazama elimu hii ninaona kama inamaliza kipato cha Watanzania {wazazi na walezi} na pia inawapotezea muda vijana wa kitanzania [Wanafunzi]. Kwa nini naiona hivyo? Elimu hii imeshindwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Urenium inayorutubishwa ni mchananganyiko wa madini ya Protoni, madini joto (Aodin) na Neuton ambazo kwa kawaida huwa zinazotoa mnunurusho wa Isotop (Atomiki). Kutokana na mchanganyiko huo...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Zenj Tanganyika Magadisio Dar Es Salaam Tanga Mombasa Mozambique Tabora Kilwa Sofala Mafia Mpaka kongo, na kwingineko, kulitawaliwa na Zenj Empire. Jee, kulikuwa na lugha ipi ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom