wanafunzi wa chuo cha Uhasibu Tanzania leo wameiburuza mahakamani tume ya uchaguzi na Spika wao huku wakimtuhumu kuvunja katiba ya serikali yao kwa kuunda tume kinyume na katiba.
Pia wameishitaki...
Racism is the belief that there are inherent differences in people's traits and capacities that are entirely due to their race, however defined, and that, as a consequence, justify the different...
Mambo vp! Wadau wote wa jf naomba mnisaidie kunipa taarifa chuo kinachotoa diploma in education & admnistration ambacho ninaweza kupata nafasi kwa sasa niweze kuapply au diploma in computer...
jaman kunauchakachuaji umetokea ktk uchaguzi wa rais wa daruso rais aliechaguliwa hatakiwi na wanachuo,wanachuo wanampango wa kuandamana wanataka katiba ibadilishwe na wafanye uchaguzi tena
WanaJF, heshima mbele! Kuna hii kitu naiadmire sana, ni kuhusu Fuzzy Logic Controller nimejaribu kuisoma muda lakini nakosa vitu kama reference za kutosha kwani nasoma mwenyewe. Kwa hiyo, kwa...
ni kiwa kama mdau na mwanamapinduzi katika sekta ya elimu sioni sababu ya wanafunzi wa art kwa O-level kusoma biology kwani ukiangalia kwa kiasi kikubwa asilimia 75 ya wanafunzi Tanzania hawana...
Mhe. Waziri Mkuu Peter Mizengo Pinda,
Tunaomba kuanza kwa kukupa pole kwa majukumu mazito uliyo nayo katika ujenzi wa taifa letu. Pia tunakupongeza kwa uimara na ushupavu wako katika kusimamia...
The Islamic World (57 countries) has got only 500 universities, India has got , 8407, followed by the US with 5758.
The figures were published by Hafez Mohamed, CEO of the Al Baraka Bank in...
Nimesikia leo katika uchambuzi wa magazeti.. Jeshi linadai limepata dawa ya migomo, nayo ni kupita JKT kabla ya kuingia elimu ya juu. Maswali 1. Hivi hawa wamefanya utafiti na kugundua tatizo la...
Fredy Azzah
MWENYEKITI wa Umoja wa Maofisa Watendaji Wakuu wa Kampuni zilizopo nchini, Ali Mufuruki amesema vijana wengi wanaomaliza vyuo vikuu mbalimbali nchini, wanashindwa kupata ajira kwa kuwa...
Jamani ndugu zanguni salaam.
Mpendwa wenu nimekwama ada, natamani kusoma na nia ninayo, ila tatizo ni mfumo uliopo.
Naomba nikipata mfadhili akalipe moja kwa moja chuo kikuu cha elimu ya watu...
Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa Daruso, silaha kubwa ya kumalizana imekuwa ni kuhusisha wagombea fulani na U-CCM. Inaonekana wazi kwamba katika siasa za vyuo hasa UDSM ni usaliti na kukosa uzalendo.
aliyekuwa mhadhiri katika chuo kikuu cha Arusha mpiganaji Dadi Igogo amefukuzwa kazi katika chuo kikuu cha arusha kwa kuhusishwa na siasa chuoni hapo.
HELLO GUYS!!
information for dearest students, or anyone who aspires to new challenges in life.......
I AM RELATIVELY NEW AT THIS FORUM AND THE MAIN REASON I AM HERE IS TO ENLIGHT SOME...
Chuo kikuu cha mtakatifu Agostino Tanzania (SAUT) cha jijini mwanza, jana kilianza kutekeleza utaratibu wake mpya kuhusu mavazi kwa wanafunzi wake, ambapo wanafunzi wa kike hawatakiwi kuvaa...