Hali ya mikopo imechukua sura mpya.wanafunzi wamebandikwa madeni bodi inadai bajeti imeshapita.lakini fedha za wanafunz hazikulipwa.wanafunzi wanaelekea bodi sasa kuomba ufafanuzi.
Ndugu waislamu,sasa nimeona tumeanza kuamka kielimu na kiutambuzi, sasa tuna vyuo vikuu vitatu vya kiislamu na lengo letu ifikapo mwaka 2016 tutakuo na vyuo vikuu 13 kuna viwanja vimeshaanza...
Wana JF tuchemshe bongo kidogo kwa kuulizana maswali. Naanza kwa kuuliza:
Je Mtaa wa Rufita (Rufita Street) ulipata umaarufu katika kitabu gani? Mwandishi wa kitabu hicho alikuwa ni nani?
Wana JF naombeni ushauri kuhusiana na hizi course za ABE ( association of business executives) na jinsi gani zinavyoweza kuapply katika soko la ajira.
Najaribu kufanya utaratibu wa kujiunga ili...
Habari wakuu,
Kama kuna anaejua ofisi hapa bongo inayoweza kuhangaika kwa niaba yangu kutafuta scholarship na ni ilipe anisaidie kwa PM please, maana naona kazi!
Habari wadau? mimi ni mwandishi wa vitabu naomba yeyote mwenye mawasiliano ya Ndanda Publication anisaidie na shida sana na mawasiliano yao. Nikipata namba zao za mkononi(meneja) ndo itakuwa safi...
Serikali Kufupisha Miaka Ya Kusoma; Kupatia Chakula
Serikali imesema iko katika mchakato wa kuandaa Sera Mpya Elimu itakayofupisha muda wa kusoma.
Sera hiyo mpya inapendekeaza muda wa...
Warudia darasa kukwepa shule za kata
Na Theonestina Juma,Bukoba
BAADHI ya wanafunzi waliofaulu kujiunga na elimu ya sekondari wilayani Chato mwaka huu wamelazimika kurudia darasa la saba...
Walimu 40 katika wilaya ya sumbawanga 'wameingia mitini' huku wengine 50 wakiingia kwenye mgomo usio na kikomo wakiishinikiza halmashauri kuwalipa mishahara pamoja na madai mbalimbali wanayodai...
YouTube - ‪G Craige Lewis "Teen Dating Boyfriends & Girlfriends"‬‏
YouTube - ‪G. Craige Lewis - Teen Dating is Roulette‬‏
Mi ni kijana nimemaliza form six mwaka huu na kupata div 2 ya point kumi malengo yangu ni kusomea 'aeronautical engineering' au mambo ya 'pillot' nlikua nachkua pcm.. je ni vipi naweza kupata chuo...
Wanajamvi naomba kujulishwa shule ya awali ya kumpeleka mtoto wa miaka kati ya 2-3
mtoto anaishi maenoeo ya tegeta na itapendeza kama atapata shule maeneo ya karibu .
Naomba wajuzi mnijuze, ni vp naweza tengeneza Letter Head ya kibiashara changu, nataka niweke na log katika letter head hiyo. Naomba msaada wenu.
Nawasilisha, Asante
Wadau mimi ni mtumishi ktk kampuni flani lakini ningependa kusomea IT japo diploma ila kwa distance learning maana nikiacha kibarua hali yangu itakuwa ngumu mwenye uzoefu anisaidie niweze kusoma...
Mimi nashangazwa na Manispaa ya Tabora Kupitia kwa Mkurugenzi na Afisa elimu idara ya sekondari, kwa kuamua kwa makusudi kabisa kutotenga fungu la kusomesha walimu kwenye budget, eti kwamba...
Wapendwa wadau wa Elimu JF,
Inasemekana kuwa serikali kupitia Wwizara yake ya Elimu, imeamua kuwa mtihani wa Hisabati darasa la saba mwaka huu utakuwa na maswali yote ya kuchagua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.