Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Napendekeza kama Taifa tuanzishe shule maalum ya Kidato cha Tano na Sita ambayo itakuwa inatoa mafunzo yake kwa taifa zima kwa saa 24 kila siku kupitia njia ya Televisheni na Redio kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba Baraza wauleze umma wa Watanzania ukweli.
0 Reactions
3 Replies
48K Views
Naomba kuelezwa mikabala mbalimbali ya kupanga maana za kidahizo cha kamusi. Bila kusahau marejeleo.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naombeni ushauri kwenye jukwaaa hili la great thinkers,First degree nimesoma Geomatics Ardhi university,ninahitaji kusoma masters degree,ushauri niombao nahitaji kuongeza shule hivyo je kwenye...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau kuna tatizo gani ndani ya hiyo ofisi, hasa sehemu ambako transcripts zinatolewa! Kumekwepo na urasimu usiokuwa na maana sana kwa hawa wahusika: Wako wadada watatu (3), na hawako makini sana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
National Examination Council of Tanzania (N.E.C.T.A) - Wall | Facebook
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kila mwaka tunalia tunataka kuongezewa hela..tena tunagoma kwa nguvu zote..lakini kwa miaka minne sasa hela ni kama imeganda hivi na maisha yamepanda,....Hivi ni ipi bora kuandamana waongeze hela...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani Julius Nyerere alitunikiwa shahada nyingi sana za udaktari wa heshima wa falsafa (zaidi ya 20), Mkapa nanye hivyo hivyo, Mwinyi naye hivyo hivyo, moja au mbili. Wote hawa hawajitukuza na...
6 Reactions
63 Replies
6K Views
Monday, May 23, 201j Monday, May 23, 2011 Katibu wa NEC, Itidai na Uenezi, CCM, Nape Nnauye akizungumza na wanachama wa CCM tawi la CCM, Chuo cha Sanaa, Lugha na Sayansi ya Jamii, Chuo Kikuu...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Kaama dakika ishirini zilizopita nilikuwa naendesha usahili kwa vijana ambao wamemeliza vyuo vikuu amini usiamini kati ya vijana hao kumi walishindwa kabisa kufanya conversation ya kingereza japo...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Habari zenu wana jf!naomba kujuzwa kipi ni chuo knachotoa products znazokubalika sokon kati ya hivi udsm,sua,ardhi,mzumbe,ifm,muccobs,iaa,tumaini,udom,saut na muhimbili.
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Kuna kipindi kinaendelea Chanel 10 nafikiri kimeanza saa 4. Huyu sheikh anathubutu kusema ni dini ya kiislam tu inayofikisha watu peponi na hakuna dini nyingine yyoyote inayoweza kumfikisha mtu...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
hivi ni kwelli serikali ye2 imeshidwa kutatua tatizo kama hili kweli hayo mengine kam umeme yatapata solution?! kweli 2ache utani inakera sana kuona hadi leo kuna watoto bado wanakaa chini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mtabishana weeeeeeeeeeeeeeeee! lakini wazungu ndio walioanzisha hiyo Dr na haohao ndio waliomtunuku, tena walewale wanaoongoza dunia ndio walikuwa wakwanza kumtunuku. Honour Awarded by Date of...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Huwezi amini hadi lleo walimu wapya bado hawajalipwa pesa ya mizigo ili hali wilaya zingine tayari zimeshawalipa. wanajamii tusaidianeni mawazo hapa kuna tatizo.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajukwaa, naombeni msaada. Katika sentensi hii, kuna bits na bytes ngapi? "THIS IS JAMIIFORUMS" Nimeuliza hivi kwa kuwa nashindwa kuelewa iwapo space inahesabika kama nayo ni character.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
heshma yenu wakuu! Naomba kuuliza kwenu wakuu kwamba ni chuo gani kinatoa masterz ya tourism kwa hapa tanzania. Asanteni,
0 Reactions
2 Replies
3K Views
business accounting solutions manual by frank wood wapi nitapata kudownload BUREEEE
0 Reactions
0 Replies
957 Views
wazee wa mazengo,daaa,hapo vip? Maaazengo!shule yetu, twaipenda sana, twaitakia fanaka na heri, uzima amani, maisha bora yenye furaha, unakumbuka nini ukiwa mazengo?
0 Reactions
20 Replies
3K Views
...hivi aya majina ya mabara katika dunia yametungwa na nani? Na kwanini herufi inayoanza ndio inayomalizia?...nahisi itakua na maana flani...nijuzeni kwa anaejua
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom