Nimekuwepo pale nafanya kazi pale kama mwalimu.Kuwepo kwangu pale kwa miezi mitatu lilikuwa darasa ambalo sikutegemea kulipata.Sifanyi umbeya wala simhalibii bepari anayemilki shule wala...
hivi karibuni kuna majambazi walivamia maeneo ya home, but hakuna hata mtu aliyejitolea kuinform polisi juu ya tukio hilo na mbaya zaidi walipora mali za watu
Nikiwa mgeni kabisa katika safu hii ya jamii forum yenye kutoa fursa ya fikra pevu na zisizo za woga. leo naomba tufikirie pamoja nanyi katika hili! mapema wiki hii vyombo vya habari viliripoti...
Elimu siku zote huchukuliwa kuwa mhimili wa maendeleo na ufanisi wa taifa lolote liwalo. Huu ni ukweli usio na walakini ndani yake. Cha ajabu ni kwamba elimu yetu (taaluma) imechanganywa na siasa...
I need help to quench the thirst of my student on the this question.
the student asked me this question, ni nini tafsiri ya neno 'machela' kwa kiingera?
I present
katika hali ya kuonyesha mwisho wa CCM uchaguzi wa serikali ya wanafunzi MASO ktk chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu nyerere chuo ambacho hapo awali kilikuwa cha MAKADA matokeo yametoka na kuonyesha...
Natafuta kitabu chenye title "Gamba la Nyoka" kilichoandikwa na Profesa Kezilahabi. Tokea CCM kutangaza kujivua gamba hiki kitabu kimeadimika sana kwenye maduka ya vitabu.
Wakuu polen na majukumu!kuna kijana wangu kapata div3 ya points 17 PCB,ana E ya BIOLOGY na zingine kapata S.sasa kwa hapo anaweza kusoma kitu gani ili baadae ajiendeleze na degree ya...
Katika muendelezo wa ccm kukataliwa na wanavyuo vya elimu ya Juu kada wa ccm Mahendeka Nsena ameangushwa vibaya kwenye uchaguzi wa raisi wa serikali ya wanafunzi MASO kwenye uchaguzi uliofanyika...
Habari wanajamii! Nipo ktk utafiti kuhusiana na janga la ukimwi. Naomba mnisaidie kunitajia nyimbo zinazohusu ukimwi zilizoimbwa na watanzania pamoja na majina ya wasanii husika wa nyimbo hizo...
Faculty of social sciences and Humanities ya chuo kikuu cha Dodoma, ina nyufa kubwa sana zinazohatarisha maisha ya wanafunzi wa chuo hicho. Pia mifumo ya majitaka ni mibovu kiasi cha kusababisha...
Hali katika uchaguzi uliofanyika mwezi wa 5 ,2011 ulitawaliwa na ubaguzi mkubwa wa kidini. Hali hii ilitokana na kupitishwa majina mengi ya waumini wa dini ya Kiislamu kuliko ya wakristu katika...
Wakuu,
Napendekeza kama Watanzania Tuanzishe Mfuko wa Kitaifa kwa ajili ya masomo degree ya UZAMIVU kwa heshima ya Professor Joseph Shija ambaye kwa sasa ni VC wa IMTU. Kiwango kinachopendekezwa...
Ndugu wa Jf, wiki iliyopita nimeenda kuchukua result slip yangu ya form 6 shuleni tambaza,baada ya kutolewa ili niendelee na process za kuomba chuo. Cha ajabu nimekuta hakuna heruf ya kat mfano...
Samahani wakubwa hivi kwa sasa tangu tuanze kutuma maombi ya vyuo kama ya ualim kuanzia diploma na certificate moja kwa moja wizarani JE inawezekana endapo muhusika nikaenda kuomba nafasi kwa coz...
Ndugu wanaJF naomba kuchukua nafasi kuwauliza viongozi na wapenzi au washabiki wa CCM walioko humu ndani " Kwa nini viongozi wa CCM wakiongozwa na Nape wanahangaika sana kwenye chaguzi za serikali...
Yule headmaster mwangoka yupo bado pale tukuyu? Au nae ndio kajifanya gadaf? Du mdingi yule nae alikuwa mnoko, hivi mnamkumbuka jamani hata waalimu wenzake walikuwa wanamuogopa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.