Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

education and discipline are direct propotional . shule au wanafunzi wenye nidhamu ndio wanaofanya vizuri. nidhamu inaweza kuwa ktk muda, kwa walimu au wanafunzi, wazazi nk
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jumamosi iliyopita Tumaini Iringa imepata rais mpya, nafurai kusikia ni mwanamapinduzi shaka yangu ni kama ni mwanamapinduzi wa ukweli. Wanaomfaham mtu huyu watusaidie asije akawa bepar au isije...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hii ndio JF, Kma wewe ni jamii ya Arusha sec, tufahamiane. Mi ni class ya 1995. Namkumbuka sana Mwl Msomali(Bwana mazingira huyu)
0 Reactions
77 Replies
7K Views
Wadau mliokuwepo maeneo hayo miaka hiyo tuwasiliane jamani tukumbushane enzi zetu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Evin school of management offer international diploma in general management from (ilm uk ) 1 year diploma in business management (nacte) tanzania 2 years certificate in business management...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kijana kutoka nzega abubakari bashe amedondoka kwenye uchaguzi wa serekali ya wanafunzi udom kijana ambaye alipata upinzani mkali kwa mdada ambaye anatoka familia za kawada.vijana wenye hasira...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu wote heshima mbele, nilipokuwa Dar-Maritime School, au shule ya meli, niliwahi kufundishwa na Mwalimu, Professor Lwiza Kamazima ambaye sasa ni mwalimu baabu kubwa sana huko majuu, yeye pia...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
nataka kumhamisha mdogo wangu shule, atoke Musoma aje Kibaha, barua ya uhamisha niiadress kwa nani na inatakiwa kupitia kwa nani na nani?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hapo Muhimbili National Hospital kwenye lango kuu la kuingilia, kuna mwanamama mmoja kichaa, muda wote yuko na mtoto, Kinachoniuma ni huyu mtoto, sijui anakula wapi, anaoga wapo? nk Naziomba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mitihani ni kigezo kimojawapo kitumikacho katika kupima uelewa wa mwanafunzi. Mitihani imekuwa ikifanyika toka mwanafunzi toka mwanafunzi yuko ngazi za awali(std one) hadi anafika chuo kikuu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nasikiliza sakata la wanafunzi wa Tumaini University Moshi-East African Radio, wanafunzi waliomba kozi ya Public Administration (Degree) walipofika chuo wanafundishwa Office management (degree)...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hi friends, I wanted to know opinions of various people about studying MBBS or Medicine in any of the Chinese Medical Universities in China. Obviously I am talking about studying the course in...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
A rocky alien planet called Gliese 581d may be the first known world beyond Earth capable of supporting life as we know it, a new study suggests. Astronomers performing a new atmospheric-modeling...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma uliwatoza wahitimu wa chuo hicho kiasi cha Tsh. 40,000/=ikiwa ni ada ya kuchukua majoho kwa ajili ya mahafali. Uongozi uliahidi kurejesha Tsh. 20,000/= kama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana jf sijui kama mnafahamu shule nyingi za bibafsi na vyuo vya ualimu vinaendeshwa kihuni sana.haya ni matokeo ya utafiti wangu wa muda mrefu-.matokeo 1.nyingi haziajiri walimu kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama ni udini kuitafuna nchi basi serikali ifike haraka UDOM na imalize hili kabla mambo hayajaharibika.Katika uchaguzi ulofanyika chuoni hapa wa serikali ya wanafunzi,tume ya uchaguzi ilipitisha...
0 Reactions
62 Replies
8K Views
Leo majira ya saa sita usiku kumetokea chatu mkubwa hapa udom social science je ni sahihuhi kwa watu kwenda kujazana na kumchezea badala ya kumuua? Je kunamadhara gani kwa watu kumchezea chatu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Unajua matatizo ya college of informatics udom ni mengi nimeonana na wanachuo wa college ya informatics wameeleza matatizo yao mengi sana likiwemo la wenzao kila mwisho wa mwaka wapatao 70 hufeli...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana-hali ya hewa naomba msaada kwenu, katika mkoa wa Morogoro ni tarehe ngapi mvua zilinyesha na kwa nchi ngapi katika mwezi wa April na May 2011. Nawakilisha.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za wakati wadau wa elimu.Naomba kuuliza JE,watakaofanya mtihani wa kidato cha sita mwaka 2012 watatumia silabasi za zamani au mpya?JE,Silabasi mpya inapatikana wapi?Naomba kama kuna mtu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom