Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jamani taifa linakwenda wapi?? Diploma ya Nurse ilikuwa miaka minne (4) lakini serikali yetu ya awamu ya nne ikapunguza na kuwa miatatu (3) na benchi ya kwanza watamaliza hivi karibuni. Kama hiyo...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Kuna mathara ya kuflash sim na kama yapo ni yapi nta shkuru
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Unajua nimefuatilia kwa kina vyanzo nya matatizo na migomo chuo cha udom hasa iliyopelekea mgomo mkubwa ambao unawafanya watoto wa wakulima wapatao 1200 wapo mtahani kama wazurulaji kwa kile...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wadau, kwanini UDSM inalazimisha kusherekea miaka 50, tangu kuanzishwa kwake, ilhali mwaka 1995 chini ya Chancellor wao wa Kwanza JK Nyerere walisherekea miaka 25? are they more right today than...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naombeni mawazo ya kuandika barua ya kuahurisha mtihani wangu wachuo, coz nimepata msiba. kama kuna mtu anayo aindike tu mimi nitabadilisha baadhi ya vitu. wanajamvi nisaidieni.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndungu zangu wana JF,St. Mathew Secondary ni moja ya shule zilizo na sifa kubwa jijini Dar es salaam lakini vilevile ni shule ambayo ina mafisadi kupita kiasi kwa wale wenye ndugu zao wanosoma...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tukumbushane ya muhimu
0 Reactions
27 Replies
9K Views
Wanajamii tumekuwa tukilalamika sana juu ya ufaulu wa wanafunzi juu ya hasa masomo ya sayansi bila kutoa suluhisho la tatizo hilo hasa kwa shule za kata. Sisi hapa Ngara mkoa wa kagera kama vijana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sina hakika lakini hebu tuiangalie hii imekaaje? Kuorodhesha vyuo vikuu kulingana na umaarufu ni desturi inayokua kwa kasi sana katika sekta ya elimu ya juu. Orodha hiyo, inayojumuisha...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kama ilivyo ada katika uchaguzi mbalimbali wa vyuo vikuu vya hapa nchini umetawaliwa na tofauti za kisiasa, yaani CCM na CHADEMA. Katika chuo cha Tumaini ya mkoani Iringa Jana jumamosi kulikua na...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
At Home Tuition provides online tutoring and homework help in Math, Science, Algebra, Geometry and Calculus. Online Test Prepare for TOEFL, IELTS, SAT and GMAT Courses. We have designed a unique...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi hawa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu huwa wanazingatia vigezo vya wanaotakiwa kupata loan (mkopo) au vipi? Mbona failures wengi tu wana mkopo wakati wenye two zao wamechakachuliwa! Mi nakosa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanafunzi wagoma kufanya mtihani WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Kibaha iliyo mkoani Pwani wamegoma kwa siku nne kuendelea na mitahani ya ‘Mock’ kwa madai kuwa maswali mengi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
jaman natafuta field nasoma civil engneering
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wapendwa, naomba mnisaidie kujua ada ya Muhimbili university of healthy and allied science kwa kozi ya Masters. Asanteni
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Democracy ichukue mkondo wake jamani,hao wazee wa gamba wanatakiwa wajue kua zama hizi wasomi rushwa haina nafasi,watu wanajiamini ndio maana hawataki huo mchezo wenu mchafu wa kutoa rushwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Democracy ichukue mkondo wake jamani,hao wazee wa gamba wanatakiwa wajue kua zama hizi wasomi rushwa haina nafasi,watu wanajiamini ndio maana hawataki huo mchezo wenu mchafu wa kutoa rushwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau hali zenu? Naomben msada wa kimawazo au wa kupata sehem ya kufanyia field ya wik 6,kwan sehem niliyopata ni halmashaur ya serengeti lakn huko ni mbali na mimi ni mwenyeji wa nzega tabora...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
katika gazeti la mwananchi la leo tarehe 12 may kuna taarifa ya mkuu wa shule moja iliyopo kata ya majohe kuwa asilimia themanini 80% ya wanafunzi wanaopokelewa shuleni hapo hawajui kusoma wala...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanafunzi wa nane nane secondary school morogoro wamegoma kuingia darasan, kisa kupinga kupewa adhabu, kama viboko na nyinginezo. Je hii sahihi, wanataka waishi kama wafalme huku wakiendelea...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom