Jamani jamani nani atasaidia wanafunzi ktk chuo kikuu cha Tumaini kampasi ya Kurasini? Tusikimbilie neno UDINI. Mazingira ya kusomea ni mabaya sana hasa jioni. Ni vurugu mechi, kuna kwaya ya...
Learn science online with At Home Tuition get ahead. We offer a variety of programs concerning science, including physics, chemistry, and biology as well as more specialized courses. We provide...
Hivi sasa wanafunzi wa UDSM Campus ya Mlimani wameanza mchakato wa mgomo.Sasa wapo chini ya Jengo la Utawala wakisoma maazimio yao.Wanapanga kwenda Bodi ya Mikopo kesho.......
NAOMBENI MSAADA JAMANI!Nataka kurudia mtihani wa kidato cha SITA february 2011 kwa Combination ya HKL.Kwa kuwa SILABASI zimebadilika naomba nitajiwe mada zinazotakiwa kusomwa katika...
Wakuu Nisaidieni
Hivi hizi status za TCU registration zina maana gani? mf. Udsm/Sua ( Accredited and Chartered), Tumaini Moshi (Accredited), Mzumbe (Full Registration and Chartered)...
Ktk chuo kikuu cha dodoma kunaendelea kampeni za kumchagua raisi wa chuo ila imeonekana wazi serikali kupitia uongozi wa juu wa chuo kuwaweka watu wao wanawowataka wao kwani Abubakary Bashe...
Mabadiliko ya jinsi ya ujazaji wa form za mikopo kutoka HESLB ni wa kisiasa tupu, watu wenyewe walio wekwa kwenye help desk na hawapokei simu. Zinaita mpaka zinakata, na sometimes hazipatikani...
wadau av tried to search kene net but cjazipata, nimepata 3 tu! i think shule za kata hazipatikaniki kwenye net coz nying ni mpya,hazina hata form4 walomaliza. naomba anayezifahamu anitupie...
wana JF mimi nimemaliza form 6 HKL na nimepata division 1 point 9 yaani CCC naombeni mnishauri nikasome kozi gani yenye soko hapa tz maana sitaki kumaliza chuo then nigange njaa mtaani na kisomo...
I'm a form six graduate and i had been expecting to study law and later become an advocate. But the problem arising now is that i got 2point 10 which is not acceptable for law in most...
Ndugu wanajamvi;
Naomba kufahamu application kwa vyuo vyenye kozi za medical ofiicers hufanyika wakati gani?
Na je, hufanyika wizara ya Afya au kwenye chuo husika?
Vyuo kama KCMC, BUGANDO na...
Mgombea uongozi serikali ya wanachuo UDOM kutoka Social campus ambaye ni mdogo wa Hussein Bashe, ametimuliwa na wanachuo kitivo cha elimu na kushindwa kumalizia 'speech' yake. Amelazimika kupanda...
tunaangalia
uwezekano wa kwenda kuuzuia
uchaguzi wote wa udoso na
college zake mahakamani siku
yoyote kuanzia kesho kutokana
na sababu zifuatazo
1.college of informatic imefungwa
hivyo watu...
Wana jf mimi nimemaliza form 6 na nimefanya mtihani kama private candidate na nimepat div 4.18 sijui nifanyeje nilisoma HGK yaan FSE Ndo nimepata, naomba mnisaidie kutafuta vyuo vya diploma na...
Aslaam alaykum wana Jamvi wa Jf.
Nahitaji kujiunga katika ulimwengu wa elimu ya juu kwa mwaka 2011-2012.
Naomba mnishauri ni some fani ipi na katika chuo gani kulingana na pass mark zangu za...
Wajemeni wasomi wenzangu na hasa wale wakokotoaji naombeni mnasaidie hili tatizo hapa.
Kuna majibu mangapi katika swali hili?
(√16-√9).naomba mnionyeshe cause nimebishana sana na...
Mi mdogo wenu ndo nimehitimu kidato cha sita na matokeo yangu ni Physics-E,Chem-E,Biology-D,BAM-S and GS-S. Tangu mwanzo nimekuwa nikipendelea kusoma INFORMATION TECHNOLOGY. Swali langu wana jf ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.