SALAM KWA WOTE, me nimwanafunzi wa ba (economics) natamani na napenda kusoma short course za computer kama vp networking au oracle, vp wezangu imekaa poa au nakosea?
Toka jana naona page ya registration haifunguki kabisa!...system zenu zimezidiwa ama?..au ni kwangu tu? Kuna ndugu zangu wametoka mashambani kuja kujisajili, siku ya pili sasa!!!!!....huu utata.
........Awali ya yote napenda kutoa pole kwa wanafunzi 27 wa chuo cha elimu ya kompyuta katika chuo kikuu cha Dodoma kwa kusimamishwa masomo ambako kwa hali inavyoelekea ni kufukuzwa...
Kama ilivyokawaida kwa baadhi ya vyuo hapa tz juu ya utoaji wa shahada za sheria kwa miaka 3,Hii ni tofauti kidogo na vyuo vingine vingi vinavyotoa shahada kama hiyo kwa miaka minne.So ningependa...
Habari zenu waungwana!jaman,kama tittle ya hii thread inavosomeka hapo juu,ni mara nyngine naomba kujuzwa tofaut zlzopo kati ya BA-ECO inayotolewa 'udsm' na Bs agro-eco inayotolewa na...
Ndugu wadau wa elimu, nimekuwa nikifikiria namna ya kusaidiana kupanua wigo wa uelewa wetu kupitia 'general questions' au quiz. Nadhani mtapenda kama ninavyopenda.
Nawaalika wote wenye maswali...
Madai ya Chuo Kikuu cha Dodoma naweza kusema ni sawa mafisadi wanaotafuta njia za mkato kujinufaisha katika maisha yao. Haiingii akilini mwangu na sioni msukumo wa kudai kila mwanachuo apate...
SHULE za Sekondari za Serikali zimengara katika matokeo ya Kidato cha sita mwaka 2011 baada ya wanafunzi wake saba kuwa miongoni mwa wanafunzi kumi bora kitaifa.Kwa mujibu wa matokeo hayo...
imefika wakati wasomi, wanasiasa machachari na wanaharakati na wale wenye uchungu na kisiwa cha zanzibar kuangalia swala zima la baraza la mitihani la taifa.
Elimu ndio msingi wa maisha, elimu...
sheria zaanza kutumika UDOM, college of informatics and virtual education imefungwa rasmi baaada ya wanafunzi wake kuendelea na mgomo kwa zaidi ya siku 3 mfululizo, na hivi sasa wanafunzi...
kusema kweli kilichotokea koleji ya kitivo cha sayansi ya mawasiliano chuo kikuu cha dodoma ni matokeo ya masilai ya watu wachache cha kuchakachua fedha za watoto wa walala hoi wa kitanzania,kwani...
nina dogo amemaliza form six 2011 atokeo yametoka amefaulu pcm division 1.5 sasa anaomba ushuri yeye anapenda kusoma telecoms eng. Mimi ningependa asome electrical engineer kwa sababu chahe...
Nina ndugu zangu nimewashauri wasomee masuala ya healthcare
ili kupata ajira kwa urahisi
sasa naomba mwenye kujua vyuo vya private na serikali vyenye kozi fupi za mwaka mmoja hivi au miwili
na...
Wanafunzi 27 wamefukuzwa chuo kikuu dodoma ndani ya siku 2,hii ni kutokana na wanafunz hao kudai special fucult requirement,tena wamefukuzwa under police escot km mbwa.Nionacho mimi chuo kikuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.