Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

tumekuwa tukisikia umoja wa wahadhiri udsm wakiandaa makongamano muhimu yanayo husu ukusanyaji wa maoni kuhusu katba mpya,bt kinachonisikitisha hawa wasomi wetu wa udom wamekaa kimyaaa...nn maana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni kajiswali kakizushi tu! Naona kama kuna marupurupu fulani wanayoyakimbilia wanaume. Ingependeza zaidi endapo madaktari bingwa wa magonjwa ya wanawake wangekuwa wanawake wenyewe.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
TCU na NACTE ni wepi bora kwa Elimu ya juu Tanzania?
0 Reactions
17 Replies
12K Views
Full scholarship for MSc in Climate Change and Development at University of Sussex/Institute for Development Studies, UK A full scholarship (fees plus maintenance and travel) funded through the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naomba mnisaidie, nimememaliza chuo kikuu lakini wanakataa kunipa cheti changu kwasababu -nimepoteza vyeti vya kidato cha nne na cha sita. Je ni tumie njia gani ili Chuo kikuu cha Dar es...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Naomba katiba tunayoitumia ili nitie comment zangu kwa hiyo inayotarajiwa. maana without critical analysis you can't contribute to the coming one.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi majibu ya kidato cha sita 2011 yanatoka lini?nimechoka kusubiri,Mwenye kujua anijuze!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekutana na mabinti watatu sasa waliomaliza kidato cha nne mwaka jana ambao wanafanya kazi za house girl. Mwanzoni sikuyaamini macho na masikio yangu. Siku ziliposogea na kukaa na kuzungunza...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Chuo kikuu cha Dodoma kitivo cha elimu kuanzia jtano ijayo kinaweza ingia kwenye mgomo mkubwa iwapo uongozi wa chuo utaleta mzaa kama kawaida yake.Mpaka jana kitivo hicho kilikuwa hakijavunja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu zangu, ebwana na shida ya kujua vyuo vinavyotoa post graduate or Masterz online kwa hapo East Africa. Tafadhali naomba mwenye kufahamu anijuze.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
ADAM LUSEKELO, 25th September 2010 @ 12:00, Total Comments: 5, Hits: 1627 THE other day I was having a casual look at our papers. In this rag they were talking a little tuition lesson to 'O'...
0 Reactions
4 Replies
13K Views
BY ADAM LUSEKELO, 29th January 2011 @ 16:00, Total Comments: 0, Hits: 801 THAT’S what was crossing my mind after I read newspaper reports that chicks are hopelessly outshining guys in academic...
0 Reactions
0 Replies
993 Views
Naomba mnifahamishe vyuo vizuri vya vinavyotoa diploma ya uhasibu pamoja na ada zake.
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Kwa wadau wanaopenda kusoma,au kujiendeleza kwa somo la Kiswahili (SARUFI) ifuatayo ni LINK ya kuweza kusoma online Paneli la Kiswahili Ndani ya hiyo LINK.Utapambana na mambo mengi kama...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Nimetafakari kwa kina juu ya suala hili sijapata jibu, naombeni kushare na wana JF wenzangu kulikoni katika hili. Nimepata kusoma katika makala nyingi sana hapa JF na kwingineko zikisisitiza kuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi ni mmoja wapo nimepiga leo kutoka Asubuhi mpaka sasa hivi nahitaji msaada ili nijaze form hizo lakini cha kushangaza hawa wafanya kazi wamefunga sim na line inayo patikana ni moja tu kwanini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais Kikwete aliwahi kutangaza kuanzishwa chuo kikuu cha Kilimo huko Butiama kwa kumuenzi marehemu baba wa taifa. Lakini hadi leo hakuna kinachoendelea kuhusu chuo hicho. Gazeti la Majira la leo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii kwa mujibu wa takwimu za kiulimwengu. Source: BBC Swahili - Habari - Vyuo Vikuu Afrika havitambuliwi
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Lengo la utolewaji wa elimu iliyo bora ni kumsaidia mlengwa kuweza kusimama yeye binafsi bila kuwa tegemezi kwa mtu mwingine ama jamii yake na taifa kiujumla. Kuna habari kuwa chuo kikuu cha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
As children face their final month of revision before the exam season starts, many parents are looking for the words to motivate their offspring. But could they be mistakenly praising the value of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom