Jaman hivi kuna taratibu gani za kufuata ili kupata scolarship kwenda kusoma nje (university) na niwakati gani taratibu hizo zinapaswa kushughulikiwa? Naombeni sana msaada wenu jaman coz nahtaji...
baada ya kutangazwa maandamano ya kupinga mswada wa katiba baadhi ya wana ccm wamesema watasapoti maandano kwa kuwa wao sio wajinga bali wapo kwa kupata chochote wakiwa wanaongea na baadhi ya...
Wizara ya Elimu na mafunzo ya Ufundi imetangaza mafunzo ya vijana waliohitimu kidato cha sita kujiunga na masomo ya awali (Pre-entry) kwa ajili ya kuwaandaa kusomea stashahada ya ualimu. Mafunzo...
Naiomba Wizara ya Elimu ifuatilie hizi shule za binafsi; kwa kweli ni unyonyaji mtupu. Hebu fikirieni jamani mtoto wa shule ya msingi unamlipia 2,800,000/= kwa mwaka. Hapo bado kila term ununue...
Ebu pitia hIki kinachoitwa vision, mission na sehemu ya katiba yetu.
MINISTRY OF EDUCATION AND VOCATINAL TRAINING
VISION
To have a Tanzanian who is well educated, knowledgeable, skilled...
Katika miaka yangu ya kusomea degree ya biashara nimekutana na waadhiri wanaojisifia kutunga mitihani migumu, na huwa wanahakikisha wanafunzi wengi wanafeli, je ubora wa elimu ni kufelisha wengi?
hivi kufelisha wanafunzi ndio kipimo cha elimu bora?
inashangaza vyuo vya africa ndio vinavyoongoza kwa kufelisha wanafunzi lakini kwenye rank za vyuo bora duniani vipo mbali sana.
The UK Prime minister have criticized Oxford saying that only one black person went to Oxford last year. He said: I saw figures the other day that showed that only one black person went to Oxford...
Ebu pitia hki kinachoitwa vision, mission na sehemu ya katiba yetu.
MINISTRY OF EDUCATION AND VOCATINAL TRAINING
VISION
To have a Tanzanian who is well educated, knowledgeable, skilled...
Ndugu zangu wana jf naomba 2shauriane. Hivi ukiwa Mining engineer unaweza kuajiliwa sehem gani nyingine tofauti na mgodini?. Maana kuna mdogo wangu alihtmu f6 mwaka jana(PCM, matokeo mazuri ila...
Aisee dogo, sisi tunasema kwa nini JK aioni ovu ya Mlacha huko UDOM !!! Kwanza huyo Mlacha imewenekana kwa yeye na JK wemeoa nyumba moja kwa hivyo jK anamfunika uchafu wake which will cost him...
Alie kuwa waziri wa mambo ya n"je wa Marekani Bi Condoliza mara baada ya kumaliza muda wao wa kuiongoza Marekani amerudi CHUONI NA ANACHAPA PINDI KAMA KAWAIDA. cha kujiuliza wasomi wetu walio...
Habari zenu ndugu?
Tukiwa katika shughuli za kiofisi wilayani Namtumbo katika kijiji cha Kilimasera, tulikutana na watoto wawili waliohitimu shule ya msingi Kilimasera mwaka 2010!
Watoto hawa...
Ndugu zangu wana jf, hebu tushauriane. Hivi ukiwa Mining engineer tofauti na mgodini kunasehem gani tena unaweza kuajiliwa? Coz kuna mdogo wangu amehtm f6 mwaka jana(PCM, matokeo mazuri ila...
Ndugu zangu wana jf, hebu tushauriane. Hivi ukiwa Mining engineer tofauti na mgodini kunasehem gani tena unaweza kuajiliwa? Coz kuna mdogo wangu amehtm f6 mwaka jana(PCM, matokeo mazuri ila...
Nikatika uchaguzi wa kumchagua raisi wa chuo cha ruaha hapa iringa kuna wagombea watatu lakini wana onyesha ushindani ni wagombea wawili huku mmjoa akiwa nikatibu wa ccm na mwingine alikuwa...
Wanajamii mnisaidie msaada wa kupata scholarship
Nimebahatika kupata offer ya adimission kutoka loughborough University ipo UK. na nimeenda TCU kuthibitisha kama chuo hiki kinatambulika kimataifa...
Wanajamvi,
Ni aibu kubwa sana kwa Taifa hili matokeo ya wanafunzi wanaosomea Clearing and Forwarding (FULL TIME student) yametoka wiki hii na hali ni mbaya sana
wanafunzi waliofanya mtihani ni...
SALAM kwa wakubwa na hi kw vijana wenzangu,me ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho BA(economics, public administration na political science), ninamalengo ya kuungunisha kusoma master, ila tatizo langu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.