fungueni site hii hapa mchangamkie sclolarship hizo acheni kulala wakati kuja kusoma ni jinsi unavohangaika kutafuta haya kazi kwenu kwa wanaotaka hakuna kulala kila siku tunapitwa na waganda na...
Hii inaumiza sana,
Unapotuma pesa kwa M-PESA unapewa transaction ID na VODA, Hiyo transaction ID unaitumia ku-confirm malipo HESLB ili uweze kuprint form ya maombi ya mkopo: mbaya kuliko...
tangu mwaka jana,suala la kushuka kwa kiwango cha ubora wa elimu inaotolewa katika shule za msingi na sekondari hasa za serikali limekuwa likijadiliwa katika vinywa vya wananchi wengi na hasa...
Habari zenu wakuu,naomba kuulza tofaut ilyopo kati ya hzi degree mbili,BA-economcs inayotolewa UDSM na BS-agroeconomcs inayotelewa na SUA,na ipi ni nzur kwa kusoma kulinganisha na demand ya nchi...
serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha dodoma imekumbwa na ufisadi mkubwa zaidi ya shilingi mia hamsini nane milioni wahusika mwenyekiti coed na spika coed .pia viongozi wa wanafunzi wa chuo cha...
Tayari moja ya matatizo yaliyosababisha mgomo mkubwa udom wa takriban siku 9 miezi kadhaa iliyopita yanarudi kwa mara nyingine.wanafunzi wanapanga foleni ndefu kwa muda mrefu,kama wanafanya...
Tutageuza majengo yote ya Serikali Dodoma kuwa vyuo vikuu na vyuo vya ufundi kwa kuendelea na azma yetu ya kuachilia mbali mpango wa kuhamishia makao makuu kwenda Dodoma. Dodoma itakuwa ni jiji la...
katika hali inayoonesha kuwa mahesabu ya ccm kuwa udom ni kambi yake yanapotea sasa wanaccm wachache chuoni hapa wamekuwa hawana amani tofauti na wenzao wa cdm.Mfano siku wanaenda kuazimisha...
chama cha mapinduzi kimekua kikipata upinzanani mkali kwa vijana wa chuo baada ya kujivua gamba chama hiki kimekua kikiwabembeleza wanafunzi kuwapa kampani siku hizi kila jumamosi vijana wamekua...
Je huku si kutafuta posho za ziada?
Mwakyembe aomba akafundishe
Sunday, 10 April 2011
Habel Chidawali, Dodoma
NAIBU Waziri wa Ujenzi, Dk Harrison Mwakyembe, ameuomba...
Naomba wana jf mnisaidie.
Nilipokwenda UDOM (University of Dodoma) kwa mara ya kwanza kuona chuo kikubwa ambacho kinavuma kwa kasi. Ukiwa unaingia getini utakutana na nembo kubwa ya CCM wakat...
By SOSTHENES PAULO MWITA, 15th April 2011
CHILD rearing is a simple task that is managed by all sorts of parents - the rich and the poor. Even beggars, and other socially disadvantaged citizens...
kijana mmoja mwana ccm kwa jina machafu jana alipewa zomea na kibanao cha kishikaji baada ya kutangaza kuwa kesho tarehe kumi na sita kutakua na kikao cha ccm .huku akisema kuwa watalete magari...
kijana mmoja wa chuo cha dodoma kitivo cha elimu amepata kibano cha kishikaji baada ya kutaka kubandika matangazo ya kikao cha ccm dodoma ambacho wajumbe wa halimashauri kuu watahudhuria .kijana...
Naomba maelekezo namna ninavyoweza kupata matokeo ya darasa la saba (online) kwa miaka mitatu iliopita, summary ya shule kwa shule, ili kujua shule zinazojitahidi katika mtihani wa darasa la saba
nina wasiwasi na jinsi tunavyosisitiza watanzania wote kufikia elimu ya chuo kikuu(wasimamizi) na tukasahau kuwa tunahitaji pia watu wa elimu ya kati ambao hasa ni watenda kazi (mafundi mchundo)...
SUALA la uchakachuaji mitihani limeingia katika sura mpya baada ya kuibuka kampuni zinazoendesha biashara ya kuwaandikia ripoti za utafiti, wanafunzi wanaohitimu elimu ya juu katika vyuo vikuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.