wafuusi wa chadema udom na wanaharakati wameponda staili iliyotumiwa na ccm huku wakisema wangeanza na kuwafukuza mafisadi kumi walioko ndani ya ccm hata hivyo mjadala uliopo kwa baadhi ya...
Kuna mdahalo unaendelea ndani ya chimwaga hall kati ya waziri wa mambo ya nje na wanafunzi wa udom kuhusu current global situation kama libya,ivory coast n.k.
Can anybody help me please?
I need help with my Assignment:
This assignment is about concurrent programming in JAVA
I'm required to come up with a system that can simulate an Automated Teller...
Tawi la Akiba bank la Moshi limekuwa na tabia ya kuwapendelea wanafunzi wa MUCCOBS kwa muda mrefu sasa,ofisi imeja graduates kutoka chuo hiki na hata kwenye upande wa field practical training...
A form one girl at Ngaru Secondary School is admitted at Kerugoya district hospital in critical condition after she was said to have been sexually assaulted with a blunt metal bar after she...
Wadau,
Naomba data kuhusu shule moja inayoitwa Manyunyu Secondary School. Kuna mtu kaniambia hii shule inapatikana Iringa. Ninependa mtu anayeifahamu anijuze kama kweli ipo Iringa; ipo Iringa...
A 15.5 months programme starting 5 September 2011.
The ISS is a University Institute of Erasmus University Rotterdam and based in The Hague, the Netherlands.
[Link] www.iss.nl/MA-programme...
Katika harakati za kuimarisha chama leo ktk chuo kikuu cha Dodoma chadema watafungua tawi ktk eneo nje kidogo na chuo kwa kujumuisha wana Udom na wananchi waishio ktk maeneo hayo ya Ng'ong'ona...
Habari za kuaminika ni kuwa, mabango ya matangazo kuhusiana na uzinduzi wa ofisi ya CDM utakaofanyika ng'ong'ona nje kidogo ya Chuo cha Elimu karibu na bati la kijani, kuanzia saa tatu asubuhi...
Baada ya jana wana Udom kupinga utaratibu wa watu kujifungia ndani na kuchangia mswada uku ukiacha mamia ya watu wakiwa nje hawajui la kufanya leo asubuhi wanachuo wengine wakiondoka mida ya saa...
Chuo kikuu dodoma ni miongoni mwa mashirika ya umma ambayo hayajawasilisha report zake kwa kamati ya bunge ya hesabu za mashirika ya umma. Je kuna nini kimejificha kwa taasisi nyeti kama hii...
Elimu ya vyuo Tanzania ni chini kutokana na kutokuwa na msukumo wa wanachuo uwepo madarasani. Mwanachuo aingie darasani au asiingie haiathiri cho chote kwa vyuo vya Tanzania.
Vyuo vya baadhi ya...
"mimi ni mwanazuoni, sio mwanasiasa, ila ninapenda siasa. Wanasiasa hawapendi siasa ila wanapenda madaraka!" maneno ya mwanazuoni mmoja katika kongamano la kwanza la katiba udsm.
mimi nataka...
Mbunge wa Arusha G Lema leo jioni amekutana na wana udom wote wanaotoka Arusha. Nakuzungumza nao mambo mengi muhimu ya maendeleo ambayo msomi anatakiwa kuyafanya kutoa mchango ktk suala la katiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.