.......Nimekuwa nikipata taarifa tofauti tofauti kila mara ninapouliza watu juu ya GPA ya JK kwenye Bachelor yake.Wengi wanadai aligonga 2.6 na kagonga Supp za kutosha almost each...
Hello,
Am looking for Universities or Colleges from Across the World which offers quality education, certificates which are recognised by Tanzania Universities (UD,Mzumbe, SUA e.tc) and...
Mimi ni mmoja kati ya watu wanaokerwa sana na tabia za makonda kunyanyasa wanafunzi hasa wa jinsia ya kike. Kuna wakati fulani nilitembelea KENYA na kushangaa kutoliona tatizo hili. Mwanzoni...
Siku ya jumamosi tarehe 26 March ilikua na hekaheka za kufanyika kwa College Baraza,College ya Social Science and Humanity! Kabla ya Baraza hilo kulikua na maandalizi ya Wafuasi wa CHADEMA hapa...
Ndugu zangu wana jamii forum, kuna kitabu nimesoma chenye title hapo
juu,nafikiri kinagusa mambo yanayoendelea kwenye jamii yetu.maonaje mkisome kisha tukijadili kwenye thred?kinapatikana...
Wanajamii naomba muongozo wenu naipenda sana hii fani na nimeanza kujitengenezea short video editing kwa kutumia program kama pinnacle 9 na nyingine kwa kujisomea tu.
Sasa natafuta chuo,je ni...
Hivi kwa lugha ya kiingereza inaitwaje?
Je? Makabila ya kitanzania yana msamiati huu?
Je? Hiana ni fitna?
Kati ya maneno yote haya mawili je?yametoholewa katika kiarabu?
Introduction
The SHARE research consortium is offering two PhD fellowships for research at the LSHTM in the field of sanitation and hygiene in Sub-Saharan Africa or South Asia. The SHARE...
Kwa mujibu wa makubaliano kati ya Serikali na Benki ya Dunia ambayo inafadhili awamu ya pili ya mpango wa maendeleo ya elimu ya sekondari serikali (SEDP II) iliahidi kufikisha kwenye kila shule ya...
Wana JF,
Nadhani hili wanalofanyiwa watoto hao sio haki. Kwanza hawapati elimu katika hali hii. Nadhani wana haki ya kuishitaki serikali kwa hili...hata baada ya miaka 50.
Ona tu mwenyewe hapa.
The long-awaited reunion is here! 25th April 2011 is the day to be at Karimjee hall Grounds from 1830hrs to enjoy and reminisce about Kifungilo life.
Come dance to Mganda and Mdumange tunes with...
JAMANI MWENYE NAMBA YA SIMU YA MKUU WA SEKONDARI YA UFUNDI YA IFUNDA NAMWOMBA ANIPE KWA KUNIBIP KWENYE NAMBA YANGU 0753600592 AU 0655600592 AU EMAIL 3manywa5@vodamail.co.tz AU manywa5@yahoo.com...
Miaka michache iliyopita tangu kuanzishwa kwa chuo kikuu cha dodoma, wanafunzi wengi wa chuo hicho walihusishwa na chama tawala yaani ccm. Lakini siku za hivi karibuni idadi kubwa ya wanafunzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.