1. Kwa miezi minane sasa CKHT hakijapewa fungu lake la OC kutoka serikalini (HATA SENTI TANO!)
Hali hii imesababisha shughuli za kawaida za chuo kukwama.
(Makamu Mkuu wa Chuo akiongea na wanachuo...
WADAU, katika pilikapilika za maisha, nimemefanyikiwa kupita kwenye University ya MACMASTER (ON-Canada). Kwenye Library yao ya Health Science nimekutana na kibao chenye ujumbe ufuatao:
THE CLASS...
habari zenu wana jf,eti hyo fild kwa hapa kwe2 tanzania ni mpya na inalipa kweli?as nimeiona inatolewa na chuo kimoja tu hapa tz ambacho ni taasisi ya uchukuz pale dar.naomben maelezo yenu.
Salaams,
Siku za nyuma kulikuwa na huduma za BBC World Service kwenye baadhi ya maeneo ya Tanzania ambazo zilikuwa zikipatikana moja kwa moja masaa 24 bila kupitia redio station zingine kama...
jamani hivi wazazi wenye watoto waliomaliza form four wapo hai kweli?
mtawezaje ona watoto wenu wamefilikiasi hicho nakukaa kimya pasipo hatua yeyote?
Au mmekubaliana na swala kuwa watoto wenu...
Wafanyakazi wa chuo cha biashara waliunganisha nguvu kwa pamoja na kumkataa mkuu wa chuo hicho wiclief lugoe. Mkuu huyo anadaiwa kuondoa posho za nyumba, umeme na usafiri kwa wafanyakazi wote...
Wapendwa wana JF naomba msaada/ushauri wa kujiendeleza na masomo kwa ngazi ya juu, kwa maana ya kwamba nimesoma Diploma ya Business Admn na kupata daraja la PASS hivyo naomba ushauri kwenu nifanye...
Wana JF hamjambo?,mi ninatarajia kumaliza bachelor degree of Accountancy mwezi wa 7 na bahati nzuri nimepata sponsor kwa ajili ya MASTERS hvyo nlikuwa naomba kujua ni chuo kipi kizuri kwa ajili ya...
Sheria za kupata viza za wanafunzi nchini Uingereza zinatarajiwa kuwa ngumu zaidi- baada ya kuibuka wasiwasi kuwa mbinu za kuingia nchini humo kwa minajil hiyo hutumiwa kiudanganyifu
Waziri wa...
Habari wana jf,
kwa yeyote anaeweza kunipatia link za kudownloads notice za Physics for A lever,hasa za topic ya geophysics na link za masomo geography & chemistry nitashukuru kama nitafanikiwa.
Wadau naomba kuwasilisha mada kwenu kwamba"Nini kifanyike kuwasaidia wadogo zetu waliofail mitihani yao ya mwaka jana?" kwa kuwa wengi wamepata alama za 0 na hawawezi kujiendeleza kielimu...
BIOLOGY HOME WORKS SERIES
For advanced level students, observe the date and day please
MONDAY 21/03/2011
1. A biologist isolated a sample of an enzyme called lactase from the...
Mkipata nafasi naomba mtembelee hiyo website hapo juu. Pia wajulisheni na watu wengine kama mtaona ina manufaa. Natumaini wengi wenu mtanunua kitabu chake na hata kujiunga na kozi zake.
jamii ya wanafunzi madaktari wa chuo kikuu cha tiba cha tumaini tawi la kcmc hapa moshi,kupitia makamu wa ras wa uongozi ulipita (2010),juzi alichukua fursa pekee na kutangazakuwa muda wao...
Usishagae hii kukaa jukwaa la elimu, hii ni kozi kamili kama kozi zingine. I have found this interesting, may be you too...If you are going to find it interesting do not forget to hit a thanks...
Tumeona tume ya kuchunguza matatizo ya mikopo haina mwakilishi wa wanafunzi hata mmoja. Ni jambo la kushangaza kuona tume imejaa upande mmoja tu wa CCM na serikali hata wanafunzi wangeshirikishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.