Wadau,
Naomba data kuhusu shule moja inayoitwa Manyunyu Secondary School. Kuna mtu kaniambia hii shule inapatikana Iringa. Ninependa mtu anayeifahamu anijuze kama kweli ipo Iringa; ipo Iringa...
Habari hii ni ya ushindi wa malengo ya elimu, au huzuni kwa wanazuoni?
Habari jamvini!
Mimi nimeisoma hii kwenye mwananchi jana, na nimesikitika sana. Nini maana yake, tuna shule nyingi za A...
Jamani baada ya majina ya wanafunzi kutangazwa kujiunga na kitato cha 5,nimekuwa nikifatilia taarifa mbalimbali za shule zetu huko nyumbani TZ, lakini cha kushangaza yaani huwezi kukuta shule ina...
Teaching is an education in Tanzania
As a teacher in a large UK comprehensive, I was starting to fall out of love with my profession. I needed a challenge and an adventure. The list of...
Natumai wana jf wote ni wazima. Kuna kitu naomba nieleweshwe, nimekua nikisikia baadhi ya wanafunzi wa kitanzania wakienda china kusoma masters programmes mbalimbali zinazofundishwa kwa lugha ya...
Nimeona kwenye baadni ya magazeti ya leo tume inaomba wananchi na wadau wa elimu ya juu kwa ujumla kuchangia mawazo ya namna ya kuboresha utoaji wa mikopo wa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu...
Hivi wana JF tuulizana hivyi vyuo vikuu vetu kama UDSM, UDOM, MZUMBE na vingine vyote vinaendelea katika utafiti au katika kuboronga? Kwani mwisho wake havitakuwa na maana. Je nini kifanyike...
:panda::panda::panda:Jamani, nilibahatika kuwa external examiner wa chuo kimoja cha biashara (CBE), hapa TZ hivi karibuni. Wakati napitia baadhi ya paper za wanachuo, nilishangaa sana kwa kweli...
Came across the following information wide and thought it may be of use.
1 Harvard University U.S.
2 Massachusetts Institute of Technology U.S.
3 University of Cambridge UK
4 University of...
kama kawa. wamemaliza mitihani. wamefulia. hawana bumu. sasa wanawindwa. wapewe pesa kidg. watumike kwenye maadamanaio haram. wengi wao wamekwama hawana naul wapo tu kwenye magorofa ya chuo.
Hebu fikiria matokeo ya form four ya mwaka jana, kwa trend hii kwa miaka 5 au zaidi Tz itakuwa taifa la wajinga zaidi ili mafisadi akina RA waendelee kutawala-hii ni mbinu tu za hawa jamaa-make...
Ni jambo la kutia huruma kwa jinsi walimu wanaosimamia na kusahihisha mitihani ya f2 wanavyo zalilishwa. Kwanza malipo kwa karatasi ni 200/ tu. Afu tenda ya kusahihisha hufanyika kwa moja ya shule...
Mengi yameongewa kuhusu mgomo uliotokea CBE Dodoma na mimi nimeona vema niwape picha halisi ya mgomo huo.
Mgomo ulianza Jumatatu ya tarehe 07/03/2011 na kumalizika Jumatano tarehe 09/03/2011...
At my school during those years, teachers used to display results on the notice board in the order of individual performance. The best appears as number one, and the worst comes last. It is very...
Waziri Elimu asimamisha mishahara ya walimu sekondari
Na Fredrick Katulanda, Kwimba
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Magreth Sitta, ameagiza kuwa mishahara ya walimu wote wa sekondari...
President Jakaya Kikwete looks at JW 9242 F 7 G one of the jet fighters as he was visited at military camp of Tanzania people`s defence forces air in Dar es Salaam on Friday. (Photo: Amour Nassor)...
Nani ana contact za hawa jamaa, Nimejaribu kuwatafuta siku ya tano sasa hawapo hewani kwenye website yao.Nimejaribu hatakwa simu ya TTCL waliotoa kama contact yao inanipa ujumbe unaoashiria ni mbovu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.