Hellow nilikuwa nahitaji maelezo kuhusu mtu alie maliza form six miaka mitano iliyopita yaani 2007 pia ana Basic technician certificate NTA level 4 kwa masomo ya Electronics and Telecommunication...
i have been thinking of how will tz be kama kiwango cha ufaulu kinapungua daily na ndo tunaforward katika hii ishu!!!i cant say much coz it pains!!!!!!!!!!!!!!!! guyz wat do u think of this if...
Leo naibu wa viwanda na biashara ndg lazaro nyalandu kazindua shahada 2 za uzamili (master's program) - master of int. trade na master of int. business ambazo zinatolewa na UDBS. Ni jambo zuri...
Consolata Primary School
Kila shule yenye hadhi enzi hizo ililazimika kuwa na bendi ya shule. Bendi ilipiga kila asubuhi wakati wa ukaguzi. Wanafunzi walikaguliwa kuanzia nywele, kucha nguo meno...
You can apply for a diploma if that one principal pass is in sciences. For science-based diploma courses requires students to have at least one principal pass and two subsidiaries. However, if you...
Kuna taarifa kuwa bweni la wavulana wa kidato cha sita Kaisho sekondari iliyoko Karagwe limeunguzwa usiku wa kuamkia leo 8.2.2011 lakini hakuna mwanafunzi aliyejeruhiwa kwa kuwa wote walikuwa...
naomba kuuliza ubora wa elimu inayotolewa nchini india as utakuta m2 kapata dv 4 au 0 hapa bongo bt anakimbilia india ambapo anaruhusiwa kusoma bachelor degree wakat hapa bongo nackia hairuhusiwi...
Hivi walimu tunaelewa haki zetu au hatuelelewi? Maana walimu tuko kimya sana. Na hawa jamaa zetu wa cwt hawaeleweki! Sijui kama wenzangu mnawaelewa!. Hivi mshahara wa mwalimu aliyemaliza digree...
Members wa JF wenye ndugu na Marafiki wanaosoma CBE Dodoma... Wataadharisheni wanachuo wasomao hapo kuwa FFU wapo tayari in FULL GEAR wakijiaandaa ku-attack... nawasilisha...
Salaam Great Thinkers,
Graduate wa IT level ya Degree. Nimeshafanya kazi kwa miaka 4 sasa kwenye field ya IT. Nataka kuongeza Elimu (Masters Level).
Sababu.
1. Nimeona nina interest na...
Mkazi mmoja wa Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma, Erest Khamis (45), anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kushiriki kumuua baba yake mzazi wakimtuhumu kuzuia mvua kunyesha mkoani humo...
Kwa muda nimekuwa nasoma majadiliano yanayohusu umuhimu wa elimu katika maisha ya jamii hasa ya Tanzania. Wengi wamechangia midahalo kama hiyo japokuwa kila kitu kinageuzwa kuwa ni swala la...
Katika chuo kikuu cha Dodoma jambo la kushangaza ni uongozi wa juu umeamua kublock SSID UDOM FACEBOOK. Kwani kila unapotaka kufungua Facebook inakataa na kwa jambo hilo limeleta utata na wanafunzi...
wana jf natafuta kitabu cha kikristo kinachoitwa neema yangu yatosha kilichoandikwa na Ghulam Masih Naaman,mwanzo alikiandika kwa kingereza halafu kikatafsiriwa kwa kiswahili,ni cha mwaka 1997,pia...
Siku izi ukitaka kujiunga na elimu ya juu, vyeti vyako vinatakiwa vikakaguliwe mahakamani kama ni feki au original. Yaani unampelekea hakimu ambeye awekaa kwenye dawati, hana database wala komputa...
wana jf natamani sana kujua majina ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano mwaka huu 2011 wanatoa lini na kwa njia ipi
tafadhali mwenye data atujuze
THE LONG-AWAITED KIFUNGILO REUNION IS HERE!!!!!
Dear ladies, Kifungilo Alumnae,
Can you believe it's been so long? But the memories are still as fresh as ever…
We all acknowledge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.