Nimesikia kuwa kuna wanafunzi wamefikia uamuzi wa kuchangishana na kukodi waalimu kwa ajiri ya kujiokoa na kufeli. Mimi niko tayari kusaidia kufundisha masomo kama Maths, physics n.k. kwa O'level...
Salaam wana JF!
Sote tunakifahamu chuo chetu kikuu cha Dodoma. Ni chuo ambacho kumekua na vituko vingi vikiripotiwa toka pale. Mfano,wanafunzi kufundishwa na wahadhiri wenye shahada moja...
Mfumo wa wa elimu nchini tofauti na ule tulioridhi toka kwa wakoloni, na wanasiasa wanachezea elimu kama siasa badala ya kujenga mfumo wa elimu usiobadilika badilika.
1. Mabadiliko ya mara kwa...
Nini maana ya kuwa mhitimu katika fani au sekta husika? Je Watanzania wasomi tunaelewa maana halisi ya kujishughulisha na fani/utaalamu fulani au kusomea fani hizo kama ijulikanavyo na wengi wa...
Nimeiona hii kule BBC news:
Education reduces blood pressure
Higher levels of education have been linked to lower blood pressure
Despite exam stress, a long stint in education is good...
Habari wana jf!mm ni kijana wa kitanzania,nlmalza kdato cha 6 mwaka jana ktk shule flan kule kanda ya ziwa,bt kutokana na sababu zczozuilika ckufanya application kwenye chuo chochote,so mwaka hu...
WanaJF,
Hivi karibuni nilijumuika kwenye ziara ya Rais aliyechaguliwa na NEC, Dr. Kikwete (heshima-UDOM) ya kutembelea eneo la Gongolamboto lililoathiriwa na mabomu. Juzi nilijumuika pia kwenye...
BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta), limepuuza lawama zinazoelekezwa kwake kutokana na matokeo mabaya ya kidato cha nne ya mwaka 2010, likieleza kuwa halipaswi kulaumiwa huku Katibu Mtendaji wa...
Jamani Watanzania wenzangu, kwa takribani wiki mbili sasa nipo kwenye data collection(field) ktk shule mbalimbali za msingi mkoani wa Dodoma! Kuna mambo yameniacha hoi, ktk shule 12 nilizotembelea...
Kuna taarifa kutoka chanzo kwa mtu wangu wa karibu aliyepo chuoni hapo kwamba mwanafunzi wa kike amefariki jana baada ya kukanyagwa na wenzie kwa kile kilichoelezwa ni kukimbilia kuwahi seat...
Nimepata bahati ya kufuatilia matamshi ya General Shimbo katika nyakati tofauti ukianzia lile tamko la wakati wa uchaguzi, na hili la leo kuhusu makazi ya wanajeshi. Kadri ninavyofuatilia matamko...
Habari za Kitaifa
Theluthi 2 ya wanawake hawajui kusoma, kuandika
Imeandikwa na Mwandishi Maalumu; Tarehe: 24th February 2011 @ 07:46 Imesomwa na watu: 20; Jumla ya maoni: 0...
FYI:
The South African Centre for Epidemiological Modelling and Analysis (SACEMA), in collaboration with the African Institute for Mathematical Sciences (AIMS), is holding a 2 week modelling...
Kwako Baba mpendwa shikamoo!!
Salamu zangu kwenu nyumbani, mimi ni mzima hofu ni kwenu mlio mbali na upeo wa macho yangu!!
Dhumuni la barua hii ni kukushukuru kwa yote ambayo umekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.