Nawapenda nyoteeeeeee wana JF
nilikuwa naomba kusaidiwa je nivituo gani vizuri ambavyo naweza kumpeleka mdg wangu akasome kidato cha tano na sita kwa mwaka mmoja? namaanisha kituo ambacho hakina...
Tbc wameonyesha watoto wa shule ya msingi luiche kigoma wanasoma wakiwa wamekaa chini kwenye vumbi wamepanga mawe yaani magoti yana sugu hawana ubao madarasa ya nyasi hakuna paa wabunge wao wako...
Baada ya wanafunzi wa UDSM kuandamana na kutaka waengezewe posho, kibonde atoa mbofumbofu katika kipindi cha jahazi kwenye CLOUDS FM. kwa kuwaambia wanafunzi kuwa wanadai pesa wakati wanavitu vya...
WanaJF naomba kama kuna wadau wanaojua ni lini wanafunzi waliomaliza form four 2010 wanachaguliwa kwenda form five anijulishe tafadhali kupitia humu jamvini.
Kuna watoto wetu wanasubiri tukio hilo!
Nawapongeza sana udsm kwa kuwa source ya mabadiliko, ila nashangaa kwanini vyuo vingie vipo kimya? Muhi2, kcmc, bugando, saut, tumaini inamaana ninyi hela inatosha? Au rice cooker zinawadanganya...
Tafakuri
NILIKUWA miongoni mwa watu waliohoji sababu za msingi za Dk. Shukuru Kawambwa kuteuliwa na Rais Jakaya Kikwete kuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi alipoteuliwa mwaka jana baada...
Bado nipo na nyie wanafunzi wa elimu ya juu. Kumbukeni ya kuwa ninyi ndio chachu ya mabadiliko yoyote ndani ya nchi. Hivi kwanini msianzishe maandamano kuhusu hali mbaya ya uchumi kama vile...
Ni jambo la kawaida kwa jamii ya kizazi hiki kumzomea kiongozi anayetoa hoja ambazo hazina mshiko na kujaa pumba kwao.
Hivi karibuni kiongozi, na mshika bango la elimu aliipata homa ya...
Kuna zawadi za valentine unazoweza kuwapa wanafuzi walimu au mtu yeyote yule. Zina mafundisho na ni znuri sana
Download hizi video then ziburn kwenye DVD then wape zawadi. uwapendao.
1The...
Chuo Kikuu kipya kuiinua Tabora
Imeandikwa na Lucas Raphael, Tabora; Tarehe: 9th February 2011 @ 23:59
JANUARI 16 mwaka huu ni siku ya kukumbukwa katika mkoa wa Tabora, kutokana na mkoa huo...
Bunge kuelezwa sababu za matokeo mabaya 'form 4'
Imeandikwa na Oscar Mbuza, Dodoma; Tarehe: 10th February 2011 @ 08:40
BAADA ya kushitushwa na matokeo mabaya ya kidato cha nne yaliyotangazwa na...
hivi hii migomo siku hizi hadi shule za sekondari, na nahisi hadi za msingi zitafuata, maana yake serikali imechoka kusikiriza wananchi wake au haki haipatikani mpaka kugoma? Mbona zamani haikuwa...
Wanafunzi wahoji uhalali tume Bodi ya Mikopo
Na Tumaini Makene
WAKATI baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wakihoji utaratibu uliotumika kuwapata wajumbe wa tume ya kuipitia Bodi ya Mikopo...
....ni hivi juzi tu tulishuhudia maandamano makubwa ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam campus ya Mlimani,,,wakidai ongezeko la fedha za matumizi ya kila
siku kufikia shilingi 10,000/=...
vyuo vingi vinafanya mitihani ya ue mwezi huu, kati kati au mwishoni. nachukua nafasi hii kuwatakia mitihani mema wanafunzi wa vyuo vikuu wote "mana mitihani ikikaribia cthan kama wataingia hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.