Wakati wanafunzi wa udsm wakiwa wanajaribu kuusubili ujio wa waziri wa elimu chuoni hapo, hali ya utulivu bado si ya kiwango cha juu kwani kumekuwa na maandamano ya hapa na pale kuzunguka maeneo...
Ilikuwa ni jambo la aibu na fedhea kubwa pale vijana wanao jipendekeza katika tabaka tawala na ambao elimu yao haijawakomboa hapa UDOM baada ya kuzomewa kwa sauti kubwa zikisindikizwa na ma...
Habari wapendwa wangu wote wa jamii forum.Leo ningependa kidogo tushirikishane kuhusu hii migomo ya wanafunzi wa elimu ya juu au vyuo vikuu. Kwa sasa kwa ukweli limekuwa ni donda ndugu ambalo...
Habari za KI-Intellegence: MATOKEO KIDATO CHA NNE NI STANDARDIZATION YA MATOKEO HALISI BAADA YA WANAFUNZI KUFELI KUPITA KIASI.
HABARI NILIZO ZIPATA KUTOKA SOURCE MOJA ILIYOKUWA KWENYE...
John Nditi
Daily News;
Tuesday,June 10, 2008
MAFANIKIO ya maendeleo yawe ya kijamii ama kiuchumi kwa taifa lolote lile duniani, hayawezi kupatikana pasipo watu wake kuwa na elimu ya kutosha na...
Wakuu,
Ilikuwa mida ya saa 2 unusu sa 3, gari ya matangazo ilipita UDOM kuwaarifu kuwa kesho ndo siku yao, ghafla walipopita mabweni ya wasichana wakapewa salamu " wabakajiiiiiiiiiiiiiiiii"...
Kumekuwepo na migomo karibu kila kinachoitwa chuo kikuu nchini Tanzania. Lakini cha kushangaza serikali inachukulia mzaha mzaha tu.... Bila hata kuangalia undani wa matatizo ya hawa vijana. Pia...
kwanza napenda kuwapongeza wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu wanaopigania haki zao. nimefuraishwa na ujumbe wa mabango yao kwamba kama serikali ina mabilioni ya kulipa mafisadi wanakosaje fedha...
Nimekuwa nikikerwa sana na tatizo la kuvuja kwa mitihani mashuleni, vyuoni n.k. Kwa muda mrefu nimekuwa nikifikiria njia mmbadala kukomesha tatizo hili. Nadhani kutumia mfumo ambao nitauitwa "Open...
Habari za uhakika tulizozipata usiku wa kuamkia leo ni kwamba wanachuo wa chuo cha ustawi wa jamii kijitonyama wamefanikiwa kumngoa mkuu wa chuo hicho.
Mkuu huyo aliyekuwa na kashfa mbali mbali...
Wote naamini tunakumba kuwa mwezi uliopita Rais Kikwete alizindua mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari Awamu ya Pili. Mpango huu unapatikana katika tovuti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya...
Jamani chuo kikuu cha dr es salaam leo hapaeleweki, kwani maktaba imefungwa, watu kutoka hostel za mabibo wametembea kwa miguu mpaka hapa,
na inasemekana kutakuwa na maandamano mpaka kwa rais...
Taarifa za kuaminikika toka chuo kikuu cha dsm ni kwamba kuna mgomo unaendelea ukiwa na maandamano kuzunguka maeneo ya chuo. Na wanafunzi wamejitokeza kwa wingi na kwa umoja wa ajabu huku wa...
Takribani wiki kadhaa hivi tumesikia migomo ikifanyika ktk vyuo vikuu kadhaa hapa nchini, kwa majina baadhi UDOM,MKWAWA,DUCE,TUMAIN-IRINGA & DAR, na bila kusahau huko ARUSHA na MOSHI. Kwa kipindi...
An expert has claimed to have unravelled the mystery behind the world-famous Mona Lisa painting - saying the model was a man and Leonardo da Vinci's lover.
Artist da Vinci has proved an endless...
Wakuu, wale waliokuwa Sengerema Secondary miaka ya 1995-1997,mnakumbuka misemo hii:
Chaka-sehemu ya kujisaidia kichakani.
Pia mnakumbuka mwalimu katendele, alikuwa anapenda sana kuku.
Mnakumbuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.