Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wana JF kama kunamtu yeyote anaefahamu lolote kuhusiana na mikoa mingi ya Tanzania bara kuishia na herufi 'A' na sio herufi nyingine. Mfano mikoa isiyoishia na herufi 'A' ni kama LINDI, MOROGORO...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wanajamii mlioko UDOM naomba mtujuze kunani? Mtoto wa mkulima hakumaliza mambo yenu, nae kawafanyia uchakachuaji? Poleni sana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu naomba kwa yeyote anayejua anisaidie hatua za kufuata kabla ya kutuma maombi unapotaka kuendesha kazi mradi (project) ni kwa kiwango cha A-level
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Safi sana vijana, uvccm ilikuja na siasa tope. Kwa nini UVCCM itumike kuwachafua watendaji wa Serikali instead of wanasiasa wanaotekeleza sera za CCM? Walitakiwa kuanza na Wazirir Mkuu then...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Walimu wapya leo hii wameandamana hadi ofisi za Manispaa Arusha kudai malipo yao. Taarifa zilizopo ni kwamba malipo hayo yamechelewa kulipwa kwa sababu Serikali kuu haina fedha hivyo ikaiomba...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Masikitiko, Masikitiko. Ndugu Mtanzania, kila mara rais na viongozi wake wanajigamba, ELIMU TANZANIA imepanda. Je kwanini usiamini kupanda kwa elimu kunathibitishwa na zero na kufeli kwa asilimia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi karibuni baraza la mitihani lilitangaza matokeo ya kidato cha nne ya Octoba, 2010.Kwa kiasi kikubwa matokeo hayo yanatoa picha halisi jinsi elimu yetu ilivyodidimia.Kama una mtoto wako...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
na Stephano Mango, Songea WALIMU 52 wa Sekondari waliopangwa kuanza kazi kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Songea wamegoma kupokea fedha za kujikimu zilizotolewa na halmashauri hiyo kwa madai...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Walimu wagoma kupokea fedha zilizochakachuliwa Send to a friend Saturday, 29 January 2011 09:39 0diggsdigg Rehema Matowo, Moshi VUTA nikuvute imetokea baina ya waalimu wapya walioajiriwa mwaka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wengi hatunatabia ya kutojisomea mara kwa mara, balaa linakuja tunapotangaziwa test au mtihani, hapo watu wanakesha(kubundi) usiku kucha. hivi lini tutaacha hii tabia ya zimamoto????
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajamii Poleni na shughuli za hapa na pale Naomba msaada wenu, nina mdogo wangu amemaliza degree ya social work 2008, ni mfanyakazi (social welfare officer) anahitaji kuongeza ujuzi katika mambo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nawasalimu ndugu zangu Natumai sote au wengi wetu humu tumeona namna matokeo ya kidato cha nne yalivyokuwa mabaya mwaka huu. Kwa kuwa wanahabari nao ni sehemu ya jamii wanaoweza kutusaidia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WANAFUNZI wa kidato cha sita, katika Shule ya Sekondari, Tosamaganga, mkoani Iringa, wamekubwa na hofu ya kushindwa kufanya mtihani wao baada ya shule hiyo, kukosa Sh13 milioni, kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tutafakari upya, Tanzania inapoteza mwelekeo!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani vp matokeo ya kidato cha sita 2010 yanatoka lini
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nimekuwa na kazi ya kusoma ripoti mbali mbali zilizoandikwa katika lugha ya Kiingereza. Kuna mambo mawili ambayo nimeyaona katika ripoti nyingi. La kwanza ni kutotumia alama za vituo kama coma...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ankal pole na kazi za kuelimisha jamii. Tunaomba utuwekee katika glob yetu ya jamii ili maombi yetu yasikike kwa wahusika, maana tunajua haakosi kutupia jicho humu. Sisi tulikuwa wanafunzi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CHINESE GOVERNMENT SCHOLARSHIP PROGRAM Chinese Government Scholarship program is established by the Ministry of Education of P.R. China (hereinafter referred to as MOE) in accordance with...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau je ni sekondari bora dar nataka kumpeleka binti yangu akasome form 5 ubora wa taaluma na malezi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wednesday, 26 January 2011 20:22 Mussa Juma, Arusha MWANAFUNZI aliyeongoza mtihani wa kidato cha mne kitaifa mwaka 2010, Lucylight Mallya (18), amebainika kuwa ni yatima ambaye wazazi wake wote...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Back
Top Bottom